Mademu wa kishua ni mzigo

Mademu wa kishua ni mzigo

Hakuna tuzo ya mtesekaji bora
Kama unampenda mnunulie machine za kurahisisha kazi au uwe unamsaidia kazi nyingine.
Kula viporo sio ujanja wala ushamba...pikeni chakula cha kutosha kwa wakati huo kiishe.
Kama umemchoka waachie Wana usimtafutie mwenzio sababu
🤣🤣🤣🤣🙌🙌
 
Jf ina wanaume/wavulana washamba sana yani:
1. Huwezi kupata binti mrembo mwenye mvuto halafu awe anafanya kazi kama fuso..never

2. Huwezi pata cheupe mwenye shepu, awe mcheshi, mwenye mahaba na mchapakazi kama msukule.

Note; ni ngumu kupata vyote;

Chukua hii;

Chagua mwenye tako, mrembo...mvivu
Au mchaoakazi kama punda..shapeless, tako less au

NK.
Mwanamke hawezi kupewa vyote, wewe chagua mwenye sifa kadhaa na madhaifu yake iwe ndio gharama ya upendo
🤣🤣🤣
Ila hapana Kuna wadada warembo na wanapiga kazi
 
Back
Top Bottom