Mademu wa kishua ni mzigo

Mademu wa kishua ni mzigo

Demu kupika anasema anachoka, yani kuna muda anapika chakula cha usiku mchana ili usiku asipike tena.

Kufanya usafi ndani ni shida eti anasema mgongo unamuuma akiinama sana.

Vyombo akishakula usiku ni kazi kuvitoa, yani anaweza kuviacha kwenye meza mpka kesho yake.

Kiporo hawezi kula, na anasema tumbo linamuuma akila viporo.

Nafikiria endapo nikimuweka ndani si ndio atakuwa TipwaTipwa huyu, yani Kazi zote si atakuwa anamuchia Dada wa kazi.

JAMANI WATOTO WA KISHUA NI TABU KUISHI NAO.
Mkuu, si ungeendelea tu na hao akina Ashura Kwapanene? Au ulikua una test zari la mentali kama lita tick?
 
Back
Top Bottom