Mademu wakali na baa nzuri Nairobi

Mademu wakali na baa nzuri Nairobi

Hata kwa local level bado umepotosha na naona kama nakushtukia madhumuni ya huu uzi ni ligi za kijinga na ungeiweka mapema tungeshushia ujinga tu maana huwa hatukawii kwenye hilo....waulize ndugu zako ambao huhagaika huku Kenyan news kila siku hehehehe!!!!
Nilifikiri umekuja kishkaji kama mwanaume tujadili kidume dume kumbe mwenzetu upo kwenye ule umbea wa Kitz, haya watakuja Wakenya wakupe makavu maana nimekushtukia hehehehe

Japo mimi sijanunua beer kipindi kirefu lakini hizo bei zako unapotosha kimakusudi, haiwezekani bei ya beer Nairobi iwe mara nne ya Dar kwenye bar za kawaida mtaani.
Siyo battle local bars. Wanuza Tasker lite Kati ya 200 na 250 Ksh. Amabayo Ni kalibia tsh 5000 Hadi 6000 tsh.
Wakati bear hiyo Tz katika local bar Ni tsh 1500 Hadi 2000. Ambayo ni Kama ksh 65 Hadi 90
Hivyo na tatu zaidi
 
Mrejesho

Nimesha kula mbili asee jaman wakenya si kwa ubaya ila wanawake wao wachafu sana ,kwanza wengi choon wanatumia tissue sio maji yaani silali tena na mdada mkenya kuna jamaa kanambia kuna mtaa una wadada wa mombasa hao ndo ntawaibukia leo waitetee nchi yao kimataifa.
 
MK254 mkuu huyu alice mm hata simjui naye amejisemea ukweli wake kaka kenya ni nchi maskini yenzetu siwezi onea wivu third world wenzangu
 
Kenya the Europe of East Africa. Yani MTU kutoka east&central Africa akipata pesa bila kufika Nairobi uhisi kama vile hajatembea mji mkuu ipasavyo hadi akanyange na kutumia ile pesa jiji kuu la Nairobi.

Nairobi is a measure of success in East Africa
Wewe utakuwaga Mkenya
 
Siyo battle local bars. Wanuza Tasker lite Kati ya 200 na 250 Ksh. Amabayo Ni kalibia tsh 5000 Hadi 6000 tsh.
Wakati bear hiyo Tz katika local bar Ni tsh 1500 Hadi 2000. Ambayo ni Kama ksh 65 Hadi 90
Hivyo na tatu zaidi
beer kwa club haitashuka chini ya ksh 200 range ni 200-350 depending on the club, Nairobi West hio Alaska ni nzuri pia jates bar, ukienda Lang'ata kuna jamaa rafiki kafungua bar mpya inaitwa motown ama ujaribu 1824. ukija westlands forty 40 inafungwa 10pm clubs nyingi sana, ranging from modern to reggae to club za wazae, casinos,huwezi kosa taste yako...nimeshangaa sana kuskia beer kule bongo ni 70 bob...
 
Mrejesho

Nimesha kula mbili asee jaman wakenya si kwa ubaya ila wanawake wao wachafu sana ,kwanza wengi choon wanatumia tissue sio maji yaani silali tena na mdada mkenya kuna jamaa kanambia kuna mtaa una wadada wa mombasa hao ndo ntawaibukia leo waitetee nchi yao kimataifa.
Sema tu ulipiga punyeto, usitafute kiki hapa, na btw mara nyingi club madem hutumia tissue wakitoka haja ndogo, wewe ndo hujui lolote, hata hao watoto wazuri wa nchi zingine ni vivyo hivyo kwanza hata zaidi hawatumii maji kunawa, wacha sisi Waafrika tumezoea maji. Pili, ka ulichukua viruka njia au koinange Street type tena wa hela ndogo, ulitarajia executive services? Wako biashara wale pia, acha udwanzi, tunajua hukuchukua chombo chochote! 🤣 🤣 🤣 🤣
 
Mrejesho

Nimesha kula mbili asee jaman wakenya si kwa ubaya ila wanawake wao wachafu sana ,kwanza wengi choon wanatumia tissue sio maji yaani silali tena na mdada mkenya kuna jamaa kanambia kuna mtaa una wadada wa mombasa hao ndo ntawaibukia leo waitetee nchi yao kimataifa.
Kula wanaotokea pwani mkuu i.e Mombasa n.k..achana na hao wanaotumia tp.
 
beer kwa club haitashuka chini ya ksh 200 range ni 200-350 depending on the club, Nairobi West hio Alaska ni nzuri pia jates bar, ukienda Lang'ata kuna jamaa rafiki kafungua bar mpya inaitwa motown ama ujaribu 1824. ukija westlands forty 40 inafungwa 10pm clubs nyingi sana, ranging from modern to reggae to club za wazae, casinos,huwezi kosa taste yako...nimeshangaa sana kuskia beer kule bongo ni 70 bob...
Wakenya huwa wanakuja kulewa huku Rombo mpakani then wanarudi kwao wakishalewa..beer hizi local ni 70 bob tu.
 
Mrejesho

Nimesha kula mbili asee jaman wakenya si kwa ubaya ila wanawake wao wachafu sana ,kwanza wengi choon wanatumia tissue sio maji yaani silali tena na mdada mkenya kuna jamaa kanambia kuna mtaa una wadada wa mombasa hao ndo ntawaibukia leo waitetee nchi yao kimataifa.
@komora096 tunakuomba huku ukuje kujibu
 
beer kwa club haitashuka chini ya ksh 200 range ni 200-350 depending on the club, Nairobi West hio Alaska ni nzuri pia jates bar, ukienda Lang'ata kuna jamaa rafiki kafungua bar mpya inaitwa motown ama ujaribu 1824. ukija westlands forty 40 inafungwa 10pm clubs nyingi sana, ranging from modern to reggae to club za wazae, casinos,huwezi kosa taste yako...nimeshangaa sana kuskia beer kule bongo ni 70 bob...
hapa napata moja tsh1500 =ksh70
 
Sema tu ulipiga punyeto, usitafute kiki hapa, na btw mara nyingi club madem hutumia tissue wakitoka haja ndogo, wewe ndo hujui lolote, hata hao watoto wazuri wa nchi zingine ni vivyo hivyo kwanza hata zaidi hawatumii maji kunawa, wacha sisi Waafrika tumezoea maji. Pili, ka ulichukua viruka njia au koinange Street type tena wa hela ndogo, ulitarajia executive services? Wako biashara wale pia, acha udwanzi, tunajua hukuchukua chombo chochote! [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]
cheki mademu wa kenya kinyesi nje nje
20210812_122847.jpg
 
Siyo battle local bars. Wanuza Tasker lite Kati ya 200 na 250 Ksh. Amabayo Ni kalibia tsh 5000 Hadi 6000 tsh.
Wakati bear hiyo Tz katika local bar Ni tsh 1500 Hadi 2000. Ambayo ni Kama ksh 65 Hadi 90
Hivyo na tatu zaidi
Isikuwe wewe ni mmoja wa kuombaomba pombe.
 
Ikiwa mkwanja si hoja zamia huku;
Kiza B
Whiskey River
Platinum 7D
Club Golden Ice
40 Forty Lounge
Club Moran
 
siku ikifika Tsh2000, mutawacha kunywa beer nyote sababu hamtakua na uwezo wa ku-afford.

Béer zimetofautiana bei Mzee,
Hizi Lite ndio zinaunzwa from 1500/- (70ksh) pamoja la local lager zenye ujazo mdogo like 350mls.
Lager kubwa zinaanzia 2000 hadi 3000ts kwa Local béer, imported lager zinaanzia 3000k na kuendelea. Huku Imported zina kodi kubwa kuliko local, na pia cost of production iko chini a reason bei za vyombo ni kawaida sana,
Besides, wengi Bado wanatumia lager na imported kuliko lites,
Tazama hapa siku ya simba day juzi watu tunajilipua halafu tuingie uwanjani na Vibe, suala la kuwa bei ndogo haihusiani na watu kumudu, bongo watu wana pesa za matumizi, a reason wanajaza uwanja wa Taifa kwa viingilio
IMG_2349.jpg

IMG_2352.jpg

IMG_2383.jpg
 
siku ikifika Tsh2000, mutawacha kunywa beer nyote sababu hamtakua na uwezo wa ku-afford.
Wakenya wengi wananusa gundi na petrol na wanakunywa changaa wamekata tamaa ya maisha ,kenya unakuta watu wamevaa suti na tai wanakwenda kwa mabanda kukunywa mataputapu na changaa
 
Back
Top Bottom