Madeni: Je, umewahi kudaiwa mpaka ukajuta kwanini ulikopa?

Wewe binti nimevulia kofia 😀😀
Sasa mlitapeliwa mkiwa pamoja
 
nakumbuka nikiwa kidato cha pili jamaa alinikopesha jero dahh siku aliyo nidai sikuamini na sikuwa na hela kabisa, tulishikana mashati kama dakika 30 mpaka mzee mmoja akaingilia kati akamlipa jamaa buku.
 
Hajauliza kwa ubaya mbona anataka kujua na kujifunza isije kuwa unalamba asali mkuu

Acha kuchukulia vitu personal
 
Mimi ni mgumu kulipa so huwa sikopi coz nimeshajua udhaifu wangu, pesa ikishafika mikononi mwangu kutoka ni ngumu sana😅...

Hongera, uko na idea nzuri ya nyuzi, ndio maana nyuzi zako naona muda mwingi zinatrend humu jukwaani.
 
Bibiee mbona una masiriko hivyo upo sawa kweli?
Get a life
 
Wewe binti nimevulia kofia 😀😀
Sasa mlitapeliwa mkiwa pamoja
Rafiki yangu alikua ameishika hela kwa madoido kila anayepita anaiona.
Mwanamke akaniambia nimpeleke ofisi ya mwalimu mkuu nikaenda, pale akabaki rafiki yangu na mwanaume.

Kwa M/mkuu hata hatukufika rafiki yangu akaja akasema yule mwanaume kasema turudi wameghairi kuonana na M/mkuu.
Tuliporudi pale dukani hatukumkuta mtu.

Yule mwanamke akasema tusubiri pale dukani akamtafute yule kaka, tukasubiri hawarudi ndo nikaikumbuka hela yangu nikamuuliza rafiki yangu hela ipo wapi,
Akaniambia yule mwanaume alimwambia amshikie ili asiipoteze wakati anatufuata kuturudisha tusiende kwa mwalimu mkuu.

Tulisubiri hawakurudi, hela ikawa imeenda hivyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…