simba45 mkali
JF-Expert Member
- Oct 15, 2012
- 1,980
- 1,879
Rais gani mwingine tena zaidi ya yeye wakati tayari kashachezea katiba yao na kujiweka miaka 10 bila kupingwa na ninahisi kuna kaharufu fulani cha kujitengenezea mazingira ya kuwa rais wa kudumu kama mu7,kagame, mugabe na wengineo maana ndio type ya marafiki zake.Hili linchi limeshaondolewa kwenye mstari . Na sasa lipo lipo tu. Hebu fikiria kile kichwa cha yule bwana ndio katiba ya nchi, hiyo nchi ina hali gani?
Tuombe tu Mungu atulinde hadi atakapokuja rais mwenye kuheshimu katiba ila nina wasiwasi kama kweli ataikuta nchi.
Bandiko lote ulichokiona ni hicho tu?Oc ndo nini? (Kirefu chake/ maana yake)!
Kwa taarifa yako rais awezi kumfukuza kazi CAGKwa hawa waheshimiwa wanavyosukuma gozi huyu CAG aanze kutafuta kazi.
Bandiko lote ulichokiona ni hicho tu?
Other Charges au matumizi mengineyo .hiki ni kifungu katika bajeti kwa fedha zinazopelekwa kwenye Taasisi za serikali kwa ajili ya uendeshajiNimeshindwa kuelewa nikakwama wakati nasoma, OC ndo nini kama unajua?
Kuwa mkweli kwa nafsi yako.Mengi kama haya yapo nchi hii
na umeweza kugundua kwa sababu ya utashi wako murua
watanzania wengi wako bize na habari za umbeaumbea , ukuda ukuda, wako bize na bashite!!
mambo kama haya huwezi kut wanafuatilia na wanakuwa serious!! haipo
Kweli mkuu inatia mashaka sana, sidhani kama watanzania tupo salama awamu hii.Hili linchi limeshaondolewa kwenye mstari . Na sasa lipo lipo tu. Hebu fikiria kile kichwa cha yule bwana ndio katiba ya nchi, hiyo nchi ina hali gani?
Tuombe tu Mungu atulinde hadi atakapokuja rais mwenye kuheshimu katiba ila nina wasiwasi kama kweli ataikuta nchi.
Other Charges au matumizi mengineyo .hiki ni kifungu katika bajeti kwa fedha zinazopelekwa kwenye Taasisi za serikali kwa ajili ya uendeshaji
Cha kusikitisha wanapiga makofi..pwa pwa pwa..
Safi sana.
Wabunge wa CCM wameshapewa miongozo na Mungu wao wakifika bungeni washangilie uozo na kuupitisha ila wapinzani wapinge na kusimamia ukweli ktk kulijenga taifa.
Asante Muheshimiwa Sizonje kwa kuwapa ujinga wabunge wa chama chako
We unaonaona Bashite ni sawa? Kosa ni kosa iwe matumizi mabaya ya fedha, ukosefu wa maadili nk nkMengi kama haya yapo nchi hii
na umeweza kugundua kwa sababu ya utashi wako murua
watanzania wengi wako bize na habari za umbeaumbea , ukuda ukuda, wako bize na bashite!!
mambo kama haya huwezi kut wanafuatilia na wanakuwa serious!! haipo
Bora ungekaa kimya tu mana ni kama hujaelewa kinachojadiliwa ila unapiga mayowe ili nawe uonekane mchangiajihawa ma CAG nao wapigaji tu... magufuli anachokifanya yupo sahihi..
hii nchi kila mtu mwizi.... lazima uwe kauzu ndio itaenda...
yaani umpe CAG hela zote halafu wanafunzi udsm hawana pa kulala.... ***** zao ningekuwa mimi rais tanzania ingenyoooka..
magufuli ni chaguo sahihi sana ambayo ccm imewai kuifanya...
kama cag anaona kazi hawezi atupishe atakuja mwingine.. atafanya kazi hivyo hivyo kwa oc ndogo..
kipindi cha nyuma wamepewa sana hela na Jk na hakuna cha maana walichokuwa wanafanya halmashauri watu wanapiga hela tu kina lakairo na kampuni zao za janja janja...
epa yenyewe wazungu ndio waliokuja kagua wakaonesha makosa... ila angekagua team ya cag wangefunika makosa ili wapewe chao
Hii mijitu ya ccm usipoteze muda wako kuongea nao.Kuwa mkweli kwa nafsi yako.
Mambo haya watu wameyaongelea sana na ninyi mmekuwa mkipingana nao sana kwa kuwa inaonekana kama "wanaikwamisha" serikali kuleta maendeleo.
Hayo matumizi yanayoibuliwa jukwaani mkubwa anapokuwa anahutubia na kesho yake utekelezaji unafanyika ni mengi sana na watu wameyapigia kelele mara nyingi tu. Ninyi mmekuwa mkiponda eti kwa kuwa yanafanywa "kwa nia njema" basi hakuna sababu ya kuyahoji. Swali la kujiuliza, kwa nini hiyo nia njema isifuate utaratibu? Kama jambo ni la muhimu, linakosekanaje kwenye mipango ya utekelezaji? Huyo mwenye mawazo ya nia njema anakuwa wapi wakati mipango hiyo inaandaliwa?
Tafakari tena kisha tathmini kauli yako.