Madeni ya Taifa: Kuna kitu very serious CAG amekisema. Hii kitu haiko sawa. Je, tunakwenda wapi?

Madeni ya Taifa: Kuna kitu very serious CAG amekisema. Hii kitu haiko sawa. Je, tunakwenda wapi?

Hili linchi limeshaondolewa kwenye mstari . Na sasa lipo lipo tu. Hebu fikiria kile kichwa cha yule bwana ndio katiba ya nchi, hiyo nchi ina hali gani?
Tuombe tu Mungu atulinde hadi atakapokuja rais mwenye kuheshimu katiba ila nina wasiwasi kama kweli ataikuta nchi.
Rais gani mwingine tena zaidi ya yeye wakati tayari kashachezea katiba yao na kujiweka miaka 10 bila kupingwa na ninahisi kuna kaharufu fulani cha kujitengenezea mazingira ya kuwa rais wa kudumu kama mu7,kagame, mugabe na wengineo maana ndio type ya marafiki zake.

Ata kina game walianza hivi hivi taratibu.
 
Mengi kama haya yapo nchi hii

na umeweza kugundua kwa sababu ya utashi wako murua

watanzania wengi wako bize na habari za umbeaumbea , ukuda ukuda, wako bize na bashite!!

mambo kama haya huwezi kut wanafuatilia na wanakuwa serious!! haipo
Kuwa mkweli kwa nafsi yako.

Mambo haya watu wameyaongelea sana na ninyi mmekuwa mkipingana nao sana kwa kuwa inaonekana kama "wanaikwamisha" serikali kuleta maendeleo.

Hayo matumizi yanayoibuliwa jukwaani mkubwa anapokuwa anahutubia na kesho yake utekelezaji unafanyika ni mengi sana na watu wameyapigia kelele mara nyingi tu. Ninyi mmekuwa mkiponda eti kwa kuwa yanafanywa "kwa nia njema" basi hakuna sababu ya kuyahoji. Swali la kujiuliza, kwa nini hiyo nia njema isifuate utaratibu? Kama jambo ni la muhimu, linakosekanaje kwenye mipango ya utekelezaji? Huyo mwenye mawazo ya nia njema anakuwa wapi wakati mipango hiyo inaandaliwa?

Tafakari tena kisha tathmini kauli yako.
 
Hili linchi limeshaondolewa kwenye mstari . Na sasa lipo lipo tu. Hebu fikiria kile kichwa cha yule bwana ndio katiba ya nchi, hiyo nchi ina hali gani?
Tuombe tu Mungu atulinde hadi atakapokuja rais mwenye kuheshimu katiba ila nina wasiwasi kama kweli ataikuta nchi.
Kweli mkuu inatia mashaka sana, sidhani kama watanzania tupo salama awamu hii.
 
Mkuu Pascal Mayalla Kwanza Wewe Heshma Yako Unaishusha Mwenyewe Kila Uchao
Kwa Hoja Zako Za Aina Ya Nyoka Wa Ndumilakuwili.

Hii Uliyoleta Kwasasa Ni Uchochezi Wa Wazi Kabisa Maana Hii Serikali Yako Unaitetea Kila Uchao Na Hata Vyeti Fake Unavitetea Sana

Kwasasa CAG Akaanze Kutafuta Kazi NYINGINE Unadhani Mkulu Atakubali Kuchafuliwa Kwa Report
 
Safi sana.
Wabunge wa CCM wameshapewa miongozo na Mungu wao wakifika bungeni washangilie uozo na kuupitisha ila wapinzani wapinge na kusimamia ukweli ktk kulijenga taifa.

Asante Muheshimiwa Sizonje kwa kuwapa ujinga wabunge wa chama chako

Siyo wabunge tu hata WAKURUGENZI nao wamepewa yao,ati kwanini wapinzani washinde wakati wanalipwa posho,magari na ulinzi halafu ati wanatangaza wapinzani wameshinda,na wale makatibu wilaya na mikoa ambao wapinzani wameshina wasigombee tena nafasi hizo,bado unafikiri UCHAGUZI utakuwa huru na haki??
 
Mengi kama haya yapo nchi hii

na umeweza kugundua kwa sababu ya utashi wako murua

watanzania wengi wako bize na habari za umbeaumbea , ukuda ukuda, wako bize na bashite!!

mambo kama haya huwezi kut wanafuatilia na wanakuwa serious!! haipo
We unaonaona Bashite ni sawa? Kosa ni kosa iwe matumizi mabaya ya fedha, ukosefu wa maadili nk nk
 
hawa ma CAG nao wapigaji tu... magufuli anachokifanya yupo sahihi..

hii nchi kila mtu mwizi.... lazima uwe kauzu ndio itaenda...

yaani umpe CAG hela zote halafu wanafunzi udsm hawana pa kulala.... ***** zao ningekuwa mimi rais tanzania ingenyoooka..

magufuli ni chaguo sahihi sana ambayo ccm imewai kuifanya...

kama cag anaona kazi hawezi atupishe atakuja mwingine.. atafanya kazi hivyo hivyo kwa oc ndogo..

kipindi cha nyuma wamepewa sana hela na Jk na hakuna cha maana walichokuwa wanafanya halmashauri watu wanapiga hela tu kina lakairo na kampuni zao za janja janja...

epa yenyewe wazungu ndio waliokuja kagua wakaonesha makosa... ila angekagua team ya cag wangefunika makosa ili wapewe chao
Bora ungekaa kimya tu mana ni kama hujaelewa kinachojadiliwa ila unapiga mayowe ili nawe uonekane mchangiaji
 
Kwanza kuhusu report kurudishwa km itakua na hayo madudu sahau, kumbuka CAG pindi alipoteuliwa tu alisema kipao chake cha kwanza itakua zile nyumba za serikali alizouza sizonje, na hakutania, kazi ilifanyika ila ile report haikusomwa, tegemea na hii itakua hivyo hivyo kwani cdhani km kuna ulazima sana report kusomwa bungeni labda mwenye uelewa zaidi atueleze km sheria inatambua huo utaratibu ama ni sizonje akihiyari maana ckumbuki km kipindi cha nyuma yaani kabla ya Mzaramo hizi report zilikua zikisomwa pale bungeni, bt all in all sizonje na CAG ni haziivi chungu kimoja kabisa, yaani ni km manji na sizonje tu, tofauti hapa ni kwamba CAG hatumbuki mpaka kuwe na sababu itakayowafanya nchi za jumuhiya ya madola kuona na za msingi, ingawa anateuliwa na Rais ila kwenye utumbuzi huwa ni ngoma zito, sizonje imekula kwake.
 
Kuwa mkweli kwa nafsi yako.

Mambo haya watu wameyaongelea sana na ninyi mmekuwa mkipingana nao sana kwa kuwa inaonekana kama "wanaikwamisha" serikali kuleta maendeleo.

Hayo matumizi yanayoibuliwa jukwaani mkubwa anapokuwa anahutubia na kesho yake utekelezaji unafanyika ni mengi sana na watu wameyapigia kelele mara nyingi tu. Ninyi mmekuwa mkiponda eti kwa kuwa yanafanywa "kwa nia njema" basi hakuna sababu ya kuyahoji. Swali la kujiuliza, kwa nini hiyo nia njema isifuate utaratibu? Kama jambo ni la muhimu, linakosekanaje kwenye mipango ya utekelezaji? Huyo mwenye mawazo ya nia njema anakuwa wapi wakati mipango hiyo inaandaliwa?

Tafakari tena kisha tathmini kauli yako.
Hii mijitu ya ccm usipoteze muda wako kuongea nao.
 
Kwenye masuala ya matumizi ya fedha...

Lazima serikali itakuwa inakiuka taratibu za matumizi ya fedha za walipa kodi wa Nchi hii.

Pata picha.. Siku ile Mkuu ametoka kumsindikiza Edgar Lungu Rais wa Zambia akaamua kwenda kufanya ziara ya kustukiza pale Ukonga Magereza. Akawapa 10Bil!! Madhara yake ndio haya.

Na ameshaonyesha kuwa atapanga matumizi kwa style hii kwani amesharudia kupanga matumizi ya hela mara kadhaa namna hii.

Wabunge lazima muamke lazima mlikatae hili.
 
Wako wapi wabunge wa upinzani, kelele zao zote zimeelekezwa kuwapigania wauza na walaji unga, na walihitajiga kusimamia jambo kubwa kama hili, lakini kimya. Huo ni kutafuata umaarufu wa kijinga.

Tumewachagua wabunge wote ili wawe wasimamizi wetu kuhakikisha serakali inafanya kazi ipaswavyo, hii inaleta aibu kwa wabunge wa vyama vyote.
 
Pasco hizi kelele zote za nini sasa hivi, kama mliweza kushangilia wakati ndege zinanunuliwa kwa cash, wizara ziamie Dodoma bila Bajeti husika kujulilana, watu walipohoji mliwaona kama ndio wachelewesha maendeleo hapa Tz. Sasa haya ndio matokeo yake ya vile vigelegele na air salute.
 
Unataka turudi nyuma kwenye mwendokasi wa 2G? Acha utaratibu wa kasi ya 4G uendelee na wenye speed ya kasi ya treni ya umeme uendelee. Sababu hizo taarifa za CAG zinachakachuliwa sana hiyo final inayotolewa siyo real ni baada ya maodita wa CAG kuvuta mpunga.
 
Back
Top Bottom