simba45 mkali
JF-Expert Member
- Oct 15, 2012
- 1,980
- 1,879
Rais gani mwingine tena zaidi ya yeye wakati tayari kashachezea katiba yao na kujiweka miaka 10 bila kupingwa na ninahisi kuna kaharufu fulani cha kujitengenezea mazingira ya kuwa rais wa kudumu kama mu7,kagame, mugabe na wengineo maana ndio type ya marafiki zake.Hili linchi limeshaondolewa kwenye mstari . Na sasa lipo lipo tu. Hebu fikiria kile kichwa cha yule bwana ndio katiba ya nchi, hiyo nchi ina hali gani?
Tuombe tu Mungu atulinde hadi atakapokuja rais mwenye kuheshimu katiba ila nina wasiwasi kama kweli ataikuta nchi.
Ata kina game walianza hivi hivi taratibu.