mtima nyongo
JF-Expert Member
- Dec 29, 2015
- 1,947
- 2,047
mpaka sasa sina cha kuongea kuhusu serikali hii,maana hata kama ni vituko hivi vimezidi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hana nia njema huyu. Nilikuwa follower wake mzuri lakini nikabaini kuna chembe chembe za kuvuruga nchi huko mbeleni. Mungu aingilie kati katika hili kwakweli nchi yetu iendelee na amani yake na kama umaskini tubakie nao.Toka awachimbe mkwara wabunge wake kuwa wasiihoji serikali...... Nimepata mashaka makubwa sana uadilifu wa mfalme.
CAG huyu anaweza ku resign. Ni mtu mmoja makini na asiye na chembe za woga au hofu.Aresign mshahara wake achukue Nani Africa hiyo michakato haipo
Nnapata ukakasi sana kusikia kuna wizara imepewa 16% ya budget ilihali nyingine imepata 230% ya budget.
Katika budget iliyopita nnakumbuka kuna wizara ilipitishiwa budget ya 4Trillion na ndiyo wizara yenye heka heka nyingi.
So kwa kifupi kama wizara iliyopewa budget ya 4trillion ilizidisha matumizi kwa 230% jibu tunalopata ni kuwa hiyo wizara licha ya kupewa budget kubwa kuliko zote ila bado ilitumia ziada ya 5.2Trillion
Kumbe Pascal wakati mwingine unaandika vitu sensible!!! I support your argument
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] inauma lakini inachekesha.Kwa hawa waheshimiwa wanavyosukuma gozi huyu CAG aanze kutafuta kazi.
Mengi kama haya yapo nchi hii
na umeweza kugundua kwa sababu ya utashi wako murua
watanzania wengi wako bize na habari za umbeaumbea , ukuda ukuda, wako bize na bashite!!
mambo kama haya huwezi kut wanafuatilia na wanakuwa serious!! haipo
Pascal Mayalla wewe ni mramba miguu ya watawala chini ya chama cha CCM
Hata ukileta habari za maana kama hizi huwa nakupuuza tu!
Umeandika hii sababu hujapata bahasha ya kaki?
hawa ma CAG nao wapigaji tu... magufuli anachokifanya yupo sahihi..
hii nchi kila mtu mwizi.... lazima uwe kauzu ndio itaenda...
yaani umpe CAG hela zote halafu wanafunzi udsm hawana pa kulala.... ***** zao ningekuwa mimi rais tanzania ingenyoooka..
magufuli ni chaguo sahihi sana ambayo ccm imewai kuifanya...
kama cag anaona kazi hawezi atupishe atakuja mwingine.. atafanya kazi hivyo hivyo kwa oc ndogo..
kipindi cha nyuma wamepewa sana hela na Jk na hakuna cha maana walichokuwa wanafanya halmashauri watu wanapiga hela tu kina lakairo na kampuni zao za janja janja...
epa yenyewe wazungu ndio waliokuja kagua wakaonesha makosa... ila angekagua team ya cag wangefunika makosa ili wapewe chao
Oc ndo nini? (Kirefu chake/ maana yake)!