Madeni ya Taifa: Kuna kitu very serious CAG amekisema. Hii kitu haiko sawa. Je, tunakwenda wapi?

Madeni ya Taifa: Kuna kitu very serious CAG amekisema. Hii kitu haiko sawa. Je, tunakwenda wapi?

Toka awachimbe mkwara wabunge wake kuwa wasiihoji serikali...... Nimepata mashaka makubwa sana uadilifu wa mfalme.
Hana nia njema huyu. Nilikuwa follower wake mzuri lakini nikabaini kuna chembe chembe za kuvuruga nchi huko mbeleni. Mungu aingilie kati katika hili kwakweli nchi yetu iendelee na amani yake na kama umaskini tubakie nao.
 
Nnapata ukakasi sana kusikia kuna wizara imepewa 16% ya budget ilihali nyingine imepata 230% ya budget.

Katika budget iliyopita nnakumbuka kuna wizara ilipitishiwa budget ya 4Trillion na ndiyo wizara yenye heka heka nyingi.

So kwa kifupi kama wizara iliyopewa budget ya 4trillion ilizidisha matumizi kwa 230% jibu tunalopata ni kuwa hiyo wizara licha ya kupewa budget kubwa kuliko zote ila bado ilitumia ziada ya 5.2Trillion

230% ya 4tril ni 4+4+ 4*3/10 = 8+6/5 = 9.2.

so its 9.2Tril na sio 5.2Tril.
 
Wabongo lazima mjifunze kujiongeza.
Bila hivyo,mtaonewa sana siku zijazo.
Ni wakati wa kuwa wakali na arrogant.
Nakumbuka kocha mmoja aliwahi kuilalamikia timu yake kuwa game approach yao sio nzuri,wako careful kupitiliza,wakijaribu kuusoma mchezo,kulinda goli na kupunguza tempo ili kuepuka kufungwa,hata wakikutana na timu ndogo,matokeo yake wanasumbuliwa na kutoka sare hata na timu ambazo wamezizidi uwezo,giving the opponet time and space to attack and press high.
Akawaambia sometimes to win matches,you need a little bit of arrogance,raising the tempo unexpectedly,attack without fear and you find that things starts to work your way.
Nadhani wakubwa ndipo walipofikia,wanaonyesha dhahiri hawaogopi umma.
Kazi kwenu umma,you are still scratching your heads trying to read a game plan of an opponet who is arrogant and hence unpredictable.
 
Mwanzoni kabisa Edward Manvi aliongelea hili jambo lakini kwa kuwa watu bado walikuwa na imani na PhD wakaponda . sasa namba inasomeka vilivyo
 
Usishangae sana kuna wengine wanajipongeza kumaliza mwaka madarakani wakati wananchi wetu wanakufa njaa na wengine wamesombwa na mafuriko ya mvua zinazoendelea hapa Dar....SHAMEFUL BASHITE!
 
Mengi kama haya yapo nchi hii

na umeweza kugundua kwa sababu ya utashi wako murua

watanzania wengi wako bize na habari za umbeaumbea , ukuda ukuda, wako bize na bashite!!

mambo kama haya huwezi kut wanafuatilia na wanakuwa serious!! haipo

...Sawa mkuu. Sasa turudi kwenye mada je wewe usiye mkuda, na usiyependa umbea umbea hebu tuambie tuliratarijia haya yasitokee kweli wakati daily tunasikia na kuona matamshi kama ...'' nitaleteta pesa hapa, kama ni fedha nitawaletea, nimewapa bilioni hizi mfanye kazi; tumenunua ndege kwa pesa taslimu; lazima tuhamie Dodoma etc ...ambavyo mostly havikuwepo kwenye bajeti let alone kuidhinishwa na bunge.
Mfano kununua ndege kwa idadi ile, kwa cash money was it budgeted? kuhamia Dodoma was it budgeted? Kujenga Airport mpya kuleee was it budgeted just to mention a few.
Na ndiyo maana hata huyo mkulu kwa kuona kwamba ame hijack mamlaka ya bunge, na kwamba wabunge hawafurahii kabisa hili, na litapigiwa kelele sana, na wananchi wanaweza kuwaunga mkono wabunge; strategically akaanza kuliponda ponda miguu bunge....(refer: Maamuzi ya utata naibu spika; kuzima bunge live kama alivyonena juzi; kuwatisha kulivunja bunge; kuwaweka ndani wabunge wa upinzani etc ).
 
Pascal Mayalla wewe ni mramba miguu ya watawala chini ya chama cha CCM
Hata ukileta habari za maana kama hizi huwa nakupuuza tu!
Umeandika hii sababu hujapata bahasha ya kaki?

...Tujadili mada ya Pasco and not kumjadili Pasco; honestly ameleta quite convincing argument hapa jukwaani. Kama na sisi hatuoni bunge likipokwa madaraka yake wazi wazi; tukanyamaza kimya; then mwaka 2020 twapanga foleni kuchangua wabunge wengine, wakati tunajua hilo bunge halina kazi hii ni shida kubwa.
 
Pasco nilianza kukudharau sana.ila nashukuru stock yako ya viroba imeisha umeanza kurecover akili.hii mada nzuri sana nakupongeza
 
hawa ma CAG nao wapigaji tu... magufuli anachokifanya yupo sahihi..

hii nchi kila mtu mwizi.... lazima uwe kauzu ndio itaenda...

yaani umpe CAG hela zote halafu wanafunzi udsm hawana pa kulala.... ***** zao ningekuwa mimi rais tanzania ingenyoooka..

magufuli ni chaguo sahihi sana ambayo ccm imewai kuifanya...

kama cag anaona kazi hawezi atupishe atakuja mwingine.. atafanya kazi hivyo hivyo kwa oc ndogo..

kipindi cha nyuma wamepewa sana hela na Jk na hakuna cha maana walichokuwa wanafanya halmashauri watu wanapiga hela tu kina lakairo na kampuni zao za janja janja...

epa yenyewe wazungu ndio waliokuja kagua wakaonesha makosa... ila angekagua team ya cag wangefunika makosa ili wapewe chao

...Kwa mawazo haya ni dhahiri CCM watatawala saaanaaa nchi hii as ni rahisi sana kumtawala asiyejitambua.
 
Pasco, bajeti ikiidhinishwa na Bunge kinachofuata ni utekelezaji. Haipelekwi kwa CAG kupata idhini. Ikumbukwe kuwa hata CAG mwenyewe bajeti yake inaaidhinishwa na Bunge baada ya kuwa scrutinized na Kamati husika ya Kudumu ya Bunge. Entry point ya CAG ni baada ya matumizi kufanyika yaani mwishoni mwa mwaka wa fedha. CAG akikamilisha kazi yake anawasilisha Taarifa yake Bungeni na nakala moja anawasilisha kwa RAIS for information.

Nilitaka niweke sawa hili.
 
Siku ile jamaa alipoagiza barabara ya MZEE WA UPAKO ijengwe fasta, mimi nilijua tu, tayari kuna tatizo kubwa!
 
Back
Top Bottom