Madeni ya Taifa: Kuna kitu very serious CAG amekisema. Hii kitu haiko sawa. Je, tunakwenda wapi?

Madeni ya Taifa: Kuna kitu very serious CAG amekisema. Hii kitu haiko sawa. Je, tunakwenda wapi?

Pasco, bajeti ikiidhinishwa na Bunge kinachofuata ni utekelezaji. Haipelekwi kwa CAG kupata idhini. Ikumbukwe kuwa hata CAG mwenyewe bajeti yake inaaidhinishwa na Bunge baada ya kuwa scrutinized na Kamati husika ya Kudumu ya Bunge. Entry point ya CAG ni baada ya matumizi kufanyika yaani mwishoni mwa mwaka wa fedha. CAG akikamilisha kazi yake anawasilisha Taarifa yake Bungeni na nakala moja anawasilisha kwa RAIS for information.

Nilitaka niweke sawa hili.

...Msingi wa malalamiko ya CAG ni kwamba ofisi yake imepata pesa kidogo sana zilizoizinishwa na bunge kiasi kwamba atashindwa kukagua ofisi za serikali ya kuwasilisha ripoti yake, ambayo lazima iwasilishwe binge lijalo la bajeti. Na akaenda mbali kusema ili asikwame kuwatuma maofisa wake kwenda mikoani ilibidi amueleze mukulu hali halisi.

Pili ametahadharisha kwamba wakati kuna Wizara zimepata below 50% ya bajeti iliyoidhinishwa na bunge kuna zingine zimepata more than 200% !!! na implication ya hii ni kwamba kuna Wizara pendwa zinapata more than kilichoidhinishwa na bunge, jambo ambalo ni hatarin kwani kama una watoto 5 na kwenye mgao wako wa pesa, ambao ni fixed, ukimzidishia mmoja maana yake mwingine atapunjika hivyo malengo yake hayatatimia.
 
Kuna haja ya CAG kufanya ukaguzi wa bilioni 50 zilizopelekwa Chato na pia Trilioni iliyotumika kununulia ndege. Huyu jamaa ana sifa ya ufisadi kafanya ufisadi kwenye ukwapuzi wa nyumba za Serikali na pia kwenye ununuzi wa kile kivuko uozo.

Hapa pana tatizo kubwa sana... fedha za serikali zinapotolewa na mtu mmoja kama ananunua matumizi ya nyumbani kwake yaani akikuta nyanya nzuri anaongeza sado mbili ni tatizo sana... CAG fanya kazi kwa weledi uokoe matumizi mabaya ya madaraka
 
Mayala ujuzi wako wa habari unaufukia ktk kina kirefu cha tope. Umeshindwa kuwa moto au baridi ila umebaki vuguvugu kwa hiyo tumekutapika toka ndani ya mawazo yetu na kukuona kila unachopost hakuna maana.
Haya mambo sisi tuliisha yapigia kelele sana ya mtu mmoja kufanya kazi zote za mihimili mingine lkn wewe pamoja na vikaragosi wenzako mmekuwa mstali wa mbele kupingwa na kuonyesha wazi kuwa wenye mawazo kama hao na wavivu wa kufikiri, wivu, na wasiojua kitu.
Sasa unapokuja na post kama hii, inabidi watu wakushangae tu kwa kujiuliza are you serious au ni zile drama zako za kuuma na kupuliza?
Umemaliza.
 
Rais kashika kila mahari sidhani kama ataruhusu ripoti kama hiyo iende bungeni na hata ikienda bado wapinzani hawatapewa ya kuchangia ukija upande wa wabunge wa chama tawala washapewa ONYO kwa kifupi hakutakua na kipya labda tutegemee kuvuja kwa ripoti hiyo na tupaze sauti kupitia vyombo vya habari
 
Wabunge wenyewe wakiwa bungeni wanasinzia tu~paul makonda
Wabunge wenyewe wakiwa bungeni wanapiga soga tu~jpm

Watu 350+ wanadharaulika na watu wawili na wanatulia kimya!!

Na bado bunge lijalo hawatahoji chochote ila kupitisha tu bajeti nyingine!

haya maajabu yanapatikana hapa Tz tu
Only in TZ hivi ni njaa au waoga?
 
Comments zetu kwenye maswala ya msingi zinatuonesha sisi ni watu wa aina gani. Hatujuwi nini hasa tunataka, Taifa gani tunataka kulijenga. Tunachukulia mambo ya msingi ya kujenga Taifa letu kishabiki utafikiri mashabiki wa mpira! Akinatrump wakitutukana tunalalamika; tukiambiwa IQ zetu ndogo tunasema ubaguzi. A well stated argument lkn mtu analeta ushabiki! Tutaendelea kukandamizwa na watawala, kumnyima haki zetu na kuendelea kuwa masikini mpaka mwisho wa dunia kama upo. We will only move forward if we become free from ignorance. Bad enough, our education doesn't free us from poor mind we have.
 
Kuna haja ya CAG kufanya ukaguzi wa bilioni 50 zilizopelekwa Chato na pia Trilioni iliyotumika kununulia ndege. Huyu jamaa ana sifa ya ufisadi kafanya ufisadi kwenye ukwapuzi wa nyumba za Serikali na pia kwenye ununuzi wa kile kivuko uozo.

Guys,
The problem is: RAIS JOHN JOSEPH POMBE MAGUFULI.
Hili ndo tatizo na chanzo cha mkwamo huu wa kifedha kwa ofisi ya CAG lakini pia kwa taasisi zote za Serikali. Rais anapojiingiza kwenye kugawa pesa hapo hakuna Bajeti. Ni jambo la hatari Rais anaemda kwenye Mkutano anasema nitawaletea FEDHA KWENYE MRADI SO AND SO NA NINAJUA NITAKAPO ZITOA!!!
Rais anapokuwa ndiyo Waziri wa Fedha, Gavana wa BOT na CAG mwenyewe unategemea nini? Kwa mtazamo wa haraka haraka Magufuli amefanya maksudi kuinyima Ofisi ya CAG ili isije ikakagua na kugundua madudu aliyoyafanya Sizonje katika ununuzi wa ndege za Bombadier 400Q, ujenzi wa Uwanja wa ndege Chato na Fedha ya Michango ya Tetemeko la Ardhi Kagera.
Sitashangaa kusikia CAG akitumbuliwa baada ya malalamiko haya. Tusubiri.
 
Kumfukuza CAG kwa kusema ukweli si sawa hata kidogo. Ifike mahali huyu dikteta uchwara aambiwe ukweli kuhusu ukiukaji wake mkubwa wa taratibu za Serikali katika matumizi ya pesa za walipa kodi. Hizi si pesa zake ni lazima aziheshimu taratibu husika.

Guys,
The problem is: RAIS JOHN JOSEPH POMBE MAGUFULI.
Hili ndo tatizo na chanzo cha mkwamo huu wa kifedha kwa ofisi ya CAG lakini pia kwa taasisi zote za Serikali. Rais anapojiingiza kwenye kugawa pesa hapo hakuna Bajeti. Ni jambo la hatari Rais anaemda kwenye Mkutano anasema nitawaletea FEDHA KWENYE MRADI SO AND SO NA NINAJUA NITAKAPO ZITOA!!!
Rais anapokuwa ndiyo Waziri wa Fedha, Gavana wa BOT na CAG mwenyewe unategemea nini? Kwa mtazamo wa haraka haraka Magufuli amefanya maksudi kuinyima Ofisi ya CAG ili isije ikakagua na kugundua madudu aliyoyafanya Sizonje katika ununuzi wa ndege za Bombadier 400Q, ujenzi wa Uwanja wa ndege Chato na Fedha ya Michango ya Tetemeko la Ardhi Kagera.
Sitashangaa kusikia CAG akitumbuliwa baada ya malalamiko haya. Tusubiri.
 
Halafu unakuta jitu linashabikia kila kitu cha kipuuzi kwa kuwa tu kinafanywa na anayejiita mnyoosha nchi.
 
Waugwana mmesahau kama baba mwenye nyumba yeye ndo bajeti yeye ndo mahakama na yeye ndo rahis

Hawo wabunge wakae wapitishe cjui bajeti haina mana kwako anatekeleza alitakalo yeye na sio binge au mahakama
 
Hapo Ndio ninapoona umuhimu wa katiba kubadilishwa Ili bunge lifutwe. Maana bunge letu la sasa halina Maana , hata mahakama pia zifutwe badala yake wakuu wa mikoa Ndio wawe majudge wa maeneo husika. Wenyewe wanakwambia wao sio wanasiasa Lkn cha kushangaza kwanini hawakajiunga Na jeshi halafu wakaja kupindua tu nchi na badala yake wakajiunga Na chama cha siasa, wakagombea vyeo vya kisiasa Na wakatoa ahadi za kisiasa (viwanda kila kona) .kama kuendesha nchi kiubabe Ndio maendeleo yatakuja basi Korea kaskazini ingelikuwa tajiri.
You nailed it, no more comment
 
Paskali umesahahu majibu ya "bwana yule" kuhusu swali ulilomuuliza juu ya kuingilia mihimili mingine?
 
Back
Top Bottom