Madeni ya TALA na Branch

Taasisi za ukopeshaji katika nchi ambazo watu hawana spirit ya kulipa madeni huwa zinapata tabu sana,ndio maana nchi zetu tutachelewa sana kuwa linked na huduma kama za Credit card n.k,na hakuna most of us tunakopa na hatutaki kulipa,mifumo kama TALA ni rahisi kupata faida nchi zilizoendelea ambako uchumi ni mkubwa na watu wanajua umuhimu wa kulipa madeni,unapoingia katika biashara ya kukopesha ina maana umekubali ku accept risk zozote zinazoweza kutokea,inabidi ujipange hasa kwenye hizi unsecured Loan ni pasua kichwa sana,i used to be a Credit Officer somewhere na mikopo ina dhamana lakini kupata marejesho sometimes ni kazi,una kuta mtu is able but unwilling to pay his/her obligations....so TALA au BRANCH wajifikirie upya!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kiongozi hao jamaa wanapata faida kubwa kupitia riba.acha kuwatetea
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama serikali yangu tukufu inadaiwa vipi mie mwananchi wake nisidaiwe. Wananidai 130000 ila sina mpango wa kuwalipa na hata wakipiga nawaambia live tu sina mpango wa kulipa kama mbwai na iwe mbwai tu bwashee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni kweli!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…