Madeni ya TALA na Branch

Madeni ya TALA na Branch

Taasisi za ukopeshaji katika nchi ambazo watu hawana spirit ya kulipa madeni huwa zinapata tabu sana,ndio maana nchi zetu tutachelewa sana kuwa linked na huduma kama za Credit card n.k,na hakuna most of us tunakopa na hatutaki kulipa,mifumo kama TALA ni rahisi kupata faida nchi zilizoendelea ambako uchumi ni mkubwa na watu wanajua umuhimu wa kulipa madeni,unapoingia katika biashara ya kukopesha ina maana umekubali ku accept risk zozote zinazoweza kutokea,inabidi ujipange hasa kwenye hizi unsecured Loan ni pasua kichwa sana,i used to be a Credit Officer somewhere na mikopo ina dhamana lakini kupata marejesho sometimes ni kazi,una kuta mtu is able but unwilling to pay his/her obligations....so TALA au BRANCH wajifikirie upya!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kiongozi hao jamaa wanapata faida kubwa kupitia riba.acha kuwatetea

Branch wako poa sana,na inatusaidia sana wa mkoani hukuu,binafsi nikikwama bati mbili,nachukua 80 yangu chapu..nikikwama petrol nachukua 40chap,nikikwama na kila nikikwama nakopa....ila mi ni mlipaji mzuri mnooo!Ukiwa umalipa utaenjoy ndugu kuliko riba ya hivi vimicrofinamce inayokaribia asilimia 75 ya mkopo uliochukua....

Sent using nokia ya tochi
Ni kweli!
 
Back
Top Bottom