Paul Mchumi
JF-Expert Member
- Sep 26, 2013
- 1,039
- 1,256
Taasisi za ukopeshaji katika nchi ambazo watu hawana spirit ya kulipa madeni huwa zinapata tabu sana,ndio maana nchi zetu tutachelewa sana kuwa linked na huduma kama za Credit card n.k,na hakuna most of us tunakopa na hatutaki kulipa,mifumo kama TALA ni rahisi kupata faida nchi zilizoendelea ambako uchumi ni mkubwa na watu wanajua umuhimu wa kulipa madeni,unapoingia katika biashara ya kukopesha ina maana umekubali ku accept risk zozote zinazoweza kutokea,inabidi ujipange hasa kwenye hizi unsecured Loan ni pasua kichwa sana,i used to be a Credit Officer somewhere na mikopo ina dhamana lakini kupata marejesho sometimes ni kazi,una kuta mtu is able but unwilling to pay his/her obligations....so TALA au BRANCH wajifikirie upya!
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app