KERO Madereva Bajaj Nyegezi - Mwanza wanajipangia bei za juu muda wa usiku

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
A

Anonymous

Guest
Nauli za Bajaj jijini Mwanza imekuwa tatizo hususani majira ya usiku, kutoka Mjini hadi Nyegezi Stand kwa Bajaji zenye route ya Buhongwa to Mwanza Mjini, madereva wanajipangia nauli kiholela kutoka shilingi 1,000/= hadi 2,000/=.
 
Samuya alisema kila mtu ale kwa urefu wa kamba
 
Nauli za Bajaj jijini Mwanza imekuwa tatizo hususani majira ya usiku, kutoka Mjini hadi Nyegezi Stand kwa Bajaji zenye route ya Buhongwa to Mwanza Mjini, madereva wanajipangia nauli kiholela kutoka shilingi 1,000/= hadi 2,000/=.
Unapotoa maelezo ya kufichua maovu inabidi uje na nondo za kushiba sio hicho ki short notes chako ulichoandika toa maelezo ya kushiba
 
Mtoa mada chuki zinakusumbua,
Sasa sisi boda boda wa Nyegezi tumekusikia vizuri na sasa mtaona cha moto,tunapandisha hadi elfu kumi nauli na wake zenu pia tunawala kubabeki..!
 
Hiyo sio huko tu mikoa mingi

Eeh usiku wa saa Tano sita na kuendelea umetoka kwenye mambo yako au safari za usiku usiku wale watu wako pale kuwasaidia hawajalala bado mnataka na bei iwe Ile Ile
 
Kuwasaidia kina nani hawapswi kuwasaidia wafanye biashara hatusaidiani
 
Kufanya kazi usiku kuna changamoto nyingi...acha tugawane maumivu🐼
 
Tembeeni kwa miguu.... huko kwenye bajaji unafikiri wanaweka maji ?
 
Nauli za Bajaj jijini Mwanza imekuwa tatizo hususani majira ya usiku, kutoka Mjini hadi Nyegezi Stand kwa Bajaji zenye route ya Buhongwa to Mwanza Mjini, madereva wanajipangia nauli kiholela kutoka shilingi 1,000/= hadi 2,000/=.
Kwa ule umbali nahisi 3000 fair kabisa
 
Bei ya mchana haiwezi kuwa sawa na usiku.
Hata bolt niliwahi kuona safari ya qina moja ila mchana na usiku bei zilikuwa tofauti
 
Sasa si bora hao wa usiku,wengine wapo pale kona ya stesheni na kule shule ya pamba mchana kweupeee wanapandisha nauli tena wana jeuri sana
 
Opposite na kituo cha mafuta? Bei imefika 1500 au?
 
Back
Top Bottom