kitotochaMama
JF-Expert Member
- Feb 1, 2026
- 235
- 437
😅😅 hiyo buku hapana, kiwango cha chini iwe buku 2. Pale Kuna distance, angalia Mbezi mwisho hadi Mwenge ni elfu 3 Kwa elfu 2.. mbezi mwisho hadi fire ni 4000Nyooh
😅😅 hiyo buku hapana, kiwango cha chini iwe buku 2. Pale Kuna distance, angalia Mbezi mwisho hadi Mwenge ni elfu 3 Kwa elfu 2.. mbezi mwisho hadi fire ni 4000Nyooh
Naunga mkono bonaLipeni nauli acheni kulia lia
Unanipambanisha na wahuni siyo?😂Naunga mkono bona
Sasa huko ni mbezi?😅😅 hiyo buku hapana, kiwango cha chini iwe buku 2. Pale Kuna distance, angalia Mbezi mwisho hadi Mwenge ni elfu 3 Kwa elfu 2.. mbezi mwisho hadi fire ni 4000
Pole sana!Umejaribu henessy pori mkuu?Nachokumbuka kuhusu mwanza ni kutoka Shamaliwa Igoma kwenda kisesa nikasahau konyagi yangu kwenye gari la jeshi la polisi la yule afande aliyeuwawa .
Nikampigia simu hakupokea nikarudi kituoni aliposema anaelekea ili nichukue pombe yangu ila sikukumbuka lolote zaidi ya siku ya pili kujikuta selo na kuambiwa nilimtusi sana afande ,ikabidi nipumzishwe .
Sikuwa na sababu ya kubaki mwanza tena baada ya kulala selo , ikabidi niondoke zangu nirudi bukoba mitaa ya nyakanyasi nikaendelee kuwatafuta wauwaji wa watu na wanyarwanda ili niwadunge sindano
R .I.P afande ulijua kuninyoosha mtoto wa mwanamke mwenziyo na ikawa mwisho wa kunywa konyagi maana nilianza kuwa napoteza kumbukumbu na kuwa mkali kuliko simba
Umbali ni ule ule tu bro. Nauli zinakuwa charged base na distanceSasa huko ni mbezi?
Hapna sijajaribu ,naomba uniambie inakuwaje hiyoPole sana!Umejaribu henessy pori mkuu?
Huku mikoani ni tofauti kwakweliUmbali ni ule ule tu bro. Nauli zinakuwa charged base na distance
Hansons itakufaa..Hapna sijajaribu ,naomba uniambie inakuwaje hiyo
Km moja ya Mwanza na Dar es Salaam ni tofauti kwani ?Huku mikoani ni tofauti kwakweli
Hunitoi kwenye balimi na ulanzi mkuu ,huku nimshakuwa mkemia wa kujitegemea sasaHansons itakufaa..
Ni sawa ila matumizi tofautiKm moja ya Mwanza na Dar es Salaam ni tofauti kwani ?
Nyie ndio nnaowataka! Yani ukilewa mkuu unafunguka vitu vyote vikaa wazi waaaah🤭Hunitoi kwenye balimi na ulanzi mkuu ,huku nimshakuwa mkemia wa kujitegemea sasa
Hizo nikinywa sina kelele na mtu ila siri sinajitoa zenyewe kinywani hivyo tukiwa wote nikilewa ,ondoka kabla sijawambia waja tabia zako zote na siri zako zote
Bei ya mafuta pia Ile Ile na matumizi ni Yale Yale ujueNi sawa ila matumizi tofauti
Kwahiyo unashauri nini?Bei ya mafuta pia Ile Ile na matumizi ni Yale Yale ujue
Bei ziwe 2000-3000Kwahiyo unashauri nini?
Hatuna huo uwezo na wao wanajua watakaa bila kaziBei ziwe 2000-3000
Inabidi kunyanyuana brother 😁😁Hatuna huo uwezo na wao wanajua watakaa bila kazi