A
Samuya alisema kila mtu ale kwa urefu wa kambaNauli za Bajaj jijini Mwanza imekuwa tatizo hususani majira ya usiku, kutoka Mjini hadi Nyegezi Stand kwa Bajaji zenye route ya Buhongwa to Mwanza Mjini, madereva wanajipangia nauli kiholela kutoka shilingi 1,000/= hadi 2,000/=.
Unapotoa maelezo ya kufichua maovu inabidi uje na nondo za kushiba sio hicho ki short notes chako ulichoandika toa maelezo ya kushibaNauli za Bajaj jijini Mwanza imekuwa tatizo hususani majira ya usiku, kutoka Mjini hadi Nyegezi Stand kwa Bajaji zenye route ya Buhongwa to Mwanza Mjini, madereva wanajipangia nauli kiholela kutoka shilingi 1,000/= hadi 2,000/=.
Kuwasaidia kina nani hawapswi kuwasaidia wafanye biashara hatusaidianiHiyo sio huko tu mikoa mingi
Eeh usiku wa saa Tano sita na kuendelea umetoka kwenye mambo yako au safari za usiku usiku wale watu wako pale kuwasaidia hawajalala bado mnataka na bei iwe Ile Ile
Ni maandiko ... sio TECTEC wanasema Ole wao wageuzao Usiku kuwa Mchana
Kwa ule umbali nahisi 3000 fair kabisaNauli za Bajaj jijini Mwanza imekuwa tatizo hususani majira ya usiku, kutoka Mjini hadi Nyegezi Stand kwa Bajaji zenye route ya Buhongwa to Mwanza Mjini, madereva wanajipangia nauli kiholela kutoka shilingi 1,000/= hadi 2,000/=.
Weye si una G-Wagon bro π π .. hutukumbuki wenye njaaPoleni.
Mtakoma kwakweli! Kila mbuzi atakula kwa urefu wa kamba..Weye si una G-Wagon bro π π .. hutukumbuki wenye njaa
NyoohKwa ule umbali nahisi 3000 fair kabisa
Opposite na kituo cha mafuta? Bei imefika 1500 au?Sasa si bora hao wa usiku,wengine wapo pale kona ya stesheni na kule shule ya pamba mchana kweupeee wanapandisha nauli tena wana jeuri sana