Madereva: Hatuingii barabarani hadi turudishiwe pointi zetu

nadhani busara utumike tu,
hao madereva wannyang'anywe point zote na Lesseni zaidi zifutwe jumla.

hatuwezi kua na nchi ya watu wasiofuata utaratibu halafu wabembelezwe kufuata utaratibu.

Ni kuwafutia leseni tu ndio unaweza kua suluhisho la kudumu la migomo na maandamano haramu nonsense kama hayo 🐒
 
Hii Sheria ya kukata point ni nzuri sana iwapo itahusisha makosa ya kizembe tu yanayo fanywa na madreva barabarani.
Madreva wanekuwa sababu ya ajali Kwa sababu ya uzembe wa kipumbavu.
Bado pesa/rushwa ndiyo itaamua ukataji wa points kwa hiyo hakuna cha maana.

Halafu traffic wanapotea barabarani kuanzia saa kumi jioni inakuwa fungulia mbwa usiku kucha.

Hizi ajali hazifai ila mikakati kuelekezwa kwa dereva pekee huku wale jamaa bado wanapokea 5K waziwazi ni kupoteza muda.
 
Elimu ya kutosha alafu wanasema kwenda mwanza mara moja point zote zinaisha ?

Point zipi wanazodai warudishiwe wizara imesema mfumo rasmi bado
Hao watu sio wajinga jaribu kuvaa matatizo yao ili uone wanachozungumza na kukihitaji watu wazima hawawezi kuacha hela kama mambo yapo sawa mkuu ukiona kuna hizi mambo jua kuna vitu havipo sawa inatakiwa visawazishwe..
 
Minyumbu ya jf inashangilia ikidhani kuwa shoga lao kuu, tobo lissu, litaingia ikulu eti🤣🤣🤣🤣
Mkuu kwani Lissu ndiye anawakata pointi madereva na kusababisha wagome?😳😳😳😳
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…