Sakasaka Mao
JF-Expert Member
- Sep 29, 2016
- 16,028
- 23,380
Mkuu unauliza jambo ambalo liko mtandaoni?Elimu ya kutosha alafu wanasema kwenda mwanza mara moja point zote zinaisha ?
Point zipi wanazodai warudishiwe wizara imesema mfumo rasmi bado
Hilo la kukatwa point ndiyo lalamiko la msingi la madereva.
Kila leseni ina point 15, sasa kila kosa lazima lipunguze point3.
Kwa hali ilivyo barabarani na ubovu wa barabara, kufutika kwa uchakavu mistari ya don't overtake/overtake imefanya madereva kupoteza point zao nyingi kwa makosa yasiyo yao.