Madereva: Hatuingii barabarani hadi turudishiwe pointi zetu

Madereva useless ni akina nani mkuu? Mbona madereva wanaowabeba nyie na kuwarudisha kazini huko Lumumba hawakatwi points? Wewe ni mtu mpuuzi sana.
 
Points zimeanzishwa ili kuwanufaisha polisi. Sasa watakuwa wanapiga mabao balaa!!!
 
Madereva useless ni akina nani mkuu? Mbona madereva wanaowabeba na kuwarudisha kazini huko Lumumba hawakatwi points? Wewe ni mtu mpuuzi sana.
madereva useless ni wale wote waliobebwa ufala wa kifikra na vibaka wa kisiasa, na kukubali kutumika kuanzisha mgomo haramu nonsense unaolenga kuzorotesha shughuli za kiuchumi.

hiyo ni tabia mbaya,
na kama taifa hatutakubali kua na madereva watovu wa nidhamu kama hao.
nasisitiza,
ikiwezekana wafutiwe leseni zao mara moja
 
Kwanini wakate points za watu live wakati wanafanya majaribio?
 
PoliCCM wana tabia ya kujificha vichakani na juu ya miti kisha hukurupuka kama panya kuingia barabarani kuwapiga madereva tochi na kusababisha ajali. PoliCCM ni chanzo cha ajali katika taifa hili.
 
Naunga mkono hoja
 
Huwezi kuelewa kwa sababu sio dereva! Rushwa imetawala huko barabarani hupiti salama bila kutoa kitu. Sasa nikuulize huu mfumo wa kukatwa points wanadai ulikuwa kwenye majaribio. Je? Unafanyia majaribio kwenye leseni za watu?
 
Wanajaribu huku watu wanaumia
wakisema system inaanza mwezi ujao madereva wengi tu kisu kitawalamba kwa kua wengi sio wafataji sheria.
dereva kufunga mkanda mpaka aone askari.

huyo polisi kwa majibu yake mepesi ndo anatakiwa kurudi shule
inawezekana pia maana jamii hii yote ni moja

Hapa wapi? Au ni macho yangu?View attachment 3681029

Jambo hilo limepokelewa jana na watu hao wametakiwa kuorodheshwa na waziri apewe hiyo taarifa.
hapa tunaona kwamba serikali imeamua kuchutama kwa kua maagizo wanayopanga wao wenyewe hawaweki utaratibu rasmi. waziri kasema jana zoezi hilo linasimama , madereva wanakawiajambo gani sasa kurudi barabarani?
Soma vizuri uzi ujue madai yote ya madereva mkuu.
madai pekee yaliyopo pending na waziri kayachukua ni ya rushwa tu


Hao watu sio wajinga jaribu kuvaa matatizo yao ili uone wanachozungumza na kukihitaji watu wazima hawawezi kuacha hela kama mambo yapo sawa mkuu ukiona kuna hizi mambo jua kuna vitu havipo sawa inatakiwa visawazishwe..
kwanini makosa upande wa madereva wao wanajibu tu "wanafamilia" na "wanasomesha" tutake kuwakubalia


Polisi walioko field walikuwa na taarifa hiyo maana wao walifanya live, ndio haya malalamiko yanapotokea
huo ni udhaifu upande wa mamlaka na upande wa walalamikaji kwa uchache.
mfano mdogo ni waziri mkuu kutangaza mifugo isikamatwe na kutaifishwa, lakini tfs, tawa wao wapo wanakamata tu huko maporini na watu wameuana juzi hapo Tabora

lakini kama jana waziri katoa tangazo la kufuta wao kwanini leo hawajaingia barabarani?
 
Halafu huyo poliCCM fomu foo feila anawadanganya madereva kuwa hata madaktari hufanyia majaribio kwa binadamu! Nonsense.
Elimu ni muhimu mkuu. Kazi ya Polisi ni laana Kuna yule mwingine alikuwa anang'oa plate number za mabasi akitarajia kupata 10% wenye nazo watapozifwata😂😂 Madereva wamekaza fuvu
 
ha ha ha ha
KAtuga Loading ............................
Kama nitaitwa mhaini kwa kuwaunga mkono madereva, ngoja tu niwe mhaini na nitakinukisha kweli kweli
 
barabara ya kilwaroad wkati wanafanya majaribio ya kutumia taa zile za barabarani zinazojumuisha hadi mwendokasi , majaribio yale yangefanyika wakati magari hakuna barabarani?
Una Akili primitive(finyu) huo mfano ulioutoa na mada iliyopo ni vitu viwili tofauti
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…