Sakasaka Mao
JF-Expert Member
- Sep 29, 2016
- 16,028
- 23,380
Mkuu unauliza jambo ambalo liko mtandaoni?Elimu ya kutosha alafu wanasema kwenda mwanza mara moja point zote zinaisha ?
Point zipi wanazodai warudishiwe wizara imesema mfumo rasmi bado
mimi akili zangu nazitumia vyema sana , ni ngekua dereva singeweza mpa trafiki rushwa kwa kitu ambacho sijafanyaUna Akili primitive(finyu) huo mfano ulioutoa na mada iliyopo ni vitu viwili tofauti
waziri kasema jana mfumo huo wa point licha ya kua kwamba ulikua kwenye majaribio lakini anausimamisha kwanza, sasa leo wanaendelea na mgomo upi?Mkuu unauliza jambo ambalo liko mtandaoni?
Hilo la kukatwa point ndiyo lalamiko la msingi la madereva.
Kila leseni ina point 15, sasa kila kosa lazima lipunguze point3.
Kwa hali ilivyo barabarani na ubovu wa barabara, kufutika kwa uchakavu mistari ya don't overtake/overtake imefanya madereva kupoteza point zao nyingi kwa makosa yasiyo yao.
Huwezi kuelewa mpaka uwe dereva Gari lenyewe hujui kuendesha rapsha za huko barabarani utazijulia wapi?mimi akili zangu nazitumia vyema sana , ni ngekua dereva singeweza mpa trafiki rushwa kwa kitu ambacho sijafanya
sawaHuwezi kuelewa mpaka uwe dereva Gari lenyewe hujui kuendesha rapsha za huko barabarani utazijulia wapi?
MAmlaka hazitaki kukiri huo udhaifu, matokeo yake kila mtu ni kambalewakisema system inaanza mwezi ujao madereva wengi tu kisu kitawalamba kwa kua wengi sio wafataji sheria.
dereva kufunga mkanda mpaka aone askari.
inawezekana pia maana jamii hii yote ni moja
Jambo hilo limepokelewa jana na watu hao wametakiwa kuorodheshwa na waziri apewe hiyo taarifa.
hapa tunaona kwamba serikali imeamua kuchutama kwa kua maagizo wanayopanga wao wenyewe hawaweki utaratibu rasmi. waziri kasema jana zoezi hilo linasimama , madereva wanakawiajambo gani sasa kurudi barabarani?
madai pekee yaliyopo pending na waziri kayachukua ni ya rushwa tu
kwanini makosa upande wa madereva wao wanajibu tu "wanafamilia" na "wanasomesha" tutake kuwakubalia
huo ni udhaifu upande wa mamlaka na upande wa walalamikaji kwa uchache.
mfano mdogo ni waziri mkuu kutangaza mifugo isikamatwe na kutaifishwa, lakini tfs, tawa wao wapo wanakamata tu huko maporini na watu wameuana juzi hapo Tabora
lakini kama jana waziri katoa tangazo la kufuta wao kwanini leo hawajaingia barabarani?
Ni vile mtu anajiona anafiti kila sehemu halafu anamwambia muhusika, kaka ngoja nije nikusaidie, hao watanisikiliza tu wala usijali. Ikitokea wanamsikiliza kweli, basi ni credit kwa wateule wake!Waziri wa michezo hili sakata linamhusishaje au ndio kutaka kick
Kupiga tochi sio tatizo kwanini poliCCM wanapiga tochi kihuni? Kama hizo tochi ni halali kwanini wajifiche?bado sijaelewa, tatizo liko wapi? kwani kupigwa tochi maana yake ni nini? nilidhania ni kamera inayorekodi mwendo ambao gari x inakwenda km/h na kuonyesha kwenye screen ya askari, sasa kwa nini iwe tatizo hata kama wakijificha? kama unaendesha mwendo unaoruhusiwa kisheria (na ni lazima dereva wa basi la abiria aendeshe mwendo unaoruhusiwa) kamera itaonyesha and you will be home free …
swali langu kuanzia asubuhiwaziri kasema jana mfumo huo wa point licha ya kua kwamba ulikua kwenye majaribio lakini anausimamisha kwanza, sasa leo wanaendelea na mgomo upi?
washaingia mabus yanatoka mbezi sasa hiviMadereva wamesema hawaingii barabarani hadi madai yao yote yatimizwe. Soma uzi vizuri mkuu.
Kwani hizo taa wakati zinafanyiwa majaribio huko Kilwa Road zilikuwa zinakata points za madereva mkuu?barabara ya kilwaroad wkati wanafanya majaribio ya kutumia taa zile za barabarani zinazojumuisha hadi mwendokasi , majaribio yale yangefanyika wakati magari hakuna barabarani?
Daudi Albert Bashite nani anamsikiliza mkuu?Ni vile mtu anajiona anafiti kila sehemu halafu anamwambia muhusika, kaka ngoja nije nikusaidie, hao watanisikiliza tu wala usijali. Ikitokea wanamsikiliza kweli, basi ni credit kwa wateule wake!
nakupa video muda si mrefuMgomo unaoendelea unahusu madai mbalimbali ya madereva, yakiwemo madai ya mikataba.
MAmlaka hazitaki kukiri huo udhaifu, matokeo yake kila mtu ni kambale
Hapa ni askari wachache baeabarani wamehusika lakini hutosikia wakigiswa
madereva hao sisi tunaomba tu mfumo uwekwe sawa janja janja wote wakae pembeniMadereva wamesema hawaingii barabarani hadi madai yao yote yatimizwe. Soma uzi vizuri mkuu.
point zinakatwa makosa, hata waseme zitaanza mwakani, madereva wazembe watanaswa tuKwani hizo taa wakati zinafanyiwa majaribio huko Kilwa Road zilikuwa zinakata points za madereva?
madereva wamevurugwa tuswali langu kuanzia asubuhi
yaani mgomo unaondelea ni wanini?
Hivi madai ya madereva ni kuhusu point tu kukatwa mkuu!point zinakatwa makosa, hata waseme zitaanza mwakani, madereva wazembe watanaswa tu
madereva wamevurugwa tu
hiyo ndo inaongozaHivi madai ya madereva ni kuhusu point tu kukatwa mkuu!
Ova