Madereva: Hatuingii barabarani hadi turudishiwe pointi zetu

Nchi kubwa kama hii inaiga mambo ya Rwanda na Burundi.Hivi inaingia akilini kweli?
 
Nawaunga mkono ila hilo la tochi tuweke camera maeneo ya speed 50 wasipewe binadamu na tochi zao uchwara. Tupunguze mambo ya negotiation kwenye makosa. Umefanya Kosa mifumo ya kidigitali ikuwajibishe sio mtu ana njaa zake anadaiwa vikoba akulazimishie kosa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…