Haha, kwanza kipindi hicho nilikuwa najiuliza Hawa jamaa wanakaa mkao gani kwanza, wanakaa chini wananyoosha miguu ama vipi, nilivyokuja kuona jinsi mikao Yao ilivyo pindi wanaendesha nilichoka sana.Yaan ukiwaona wanapiga tizi gym utajiuliza hawa wanajeshi Navy SEAL au madereva?
Ukijaribu ule mkao, dakika 10 unaona mateso. Na unaambiwa kiti hakina nyama nyama kabisa. Kupunguza uzito.Haha, kwanza kipindi hicho nilikuwa najiuliza Hawa jamaa wanakaa mkao gani kwanza, wanakaa chini wananyoosha miguu ama vipi, nilivyokuja kuona jinsi mikao Yao ilivyo pindi wanaendesha nilichoka sana.
Kipindi hiki ambacho ligi mbalimbali za ulaya zimeisha huwa naangalia kwenye vifurushi vya kawaida ndani ya DStv hasa channel namba 228DSTV wanaonesha aya mashindano sema ni vifurushi vikubwa vya kishua. Mimi (na washkaji) tunachofanya tunaenda Masaki kuangalia kwenye baadhi ya Bar. Wanaonesha F1. Just soda ya buku 2 kama siku iyo tupo broke.
Mchezo mtamu sana... ndio mchezo pekee ambao nimeangalia kwa miaka mingi sana... Personally naangalia F1 kuliko hata football.Leo ndo nomeujua huu mchezo. Bado rugby
Ongea na watu vizuri....DSTV wanaonesha aya mashindano sema ni vifurushi vikubwa vya kishua. Mimi (na washkaji) tunachofanya tunaenda Masaki kuangalia kwenye baadhi ya Bar. Wanaonesha F1. Just soda ya buku 2 kama siku iyo tupo broke.
Dah umetisha 😂😂 naleta kiburi mjini..Ongea na watu vizuri....
F1 Live Stream | F1 streams free - TOTALSPORTEK
TOTALSPORTEK F1 Streams free. Watch f1 streaming for free on Totalsportek here you will get links of every upcoming Formula 1 Grand Prix in 2023totalsportek.pro
uwezekano hawa madereva wakawa wanalipwa pesa ndefu sana zaidi ya football players maana kuvumilia huo mkao kwa over two hours huku ukishindana na 7-9G forces si mchezo + concentration kubwa usifanye mistake yoyote ile si si Jambo dogo. Nafikiria lakiniUkijaribu ule mkao, dakika 10 unaona mateso. Na unaambiwa kiti hakina nyama nyama kabisa. Kupunguza uzito.
Unaambiwa drivers wa hizo gari huandaliwa tangia wadogo, je utaweza na utaipata wapi bila kutembelea nchi vinapopatikana huko mkuu?Mtaalam wa hizi kazi, umeelezea vizuri sana. Napenda sana F1 racing, natamani siku moja niendeshe hiko kigari. Namkubali sana Lewis hamiliton.
Hapana nimequote mstari wa Mwana fa kwenye Ngoma Yao ya "Habari ndio hiyo"na Ay, kwenye F1 Nilikuwa namkubali Sana Peter Schumacher,,aendelee kuugua pole..kila nikiwaza mchizi wangu huenda unateseka..
Ata kwenye Mchizi wangu Rmx alisema ivo ivo, ndio nimamalizia ...kila nikiwaza mchizi wangu huenda unateseka...Hapana nimequote mstari wa Mwana fa kwenye Ngoma Yao ya "Habari ndio hiyo"na Ay, kwenye F1 Nilikuwa namkubali Sana Peter Schumacher,,aendelee kuugua pole
Kusema kweli kwa sasa bro tumechelewa. Na ubaya zaidi haya magari sio "street leagl" kwamba ukipata pesa uyanunue utembee nalo barabara ya Mwendokasi.Mtaalam wa hizi kazi, umeelezea vizuri sana. Napenda sana F1 racing, natamani siku moja niendeshe hiko kigari. Namkubali sana Lewis hamiliton.
Naam!!shukrani Kwa marekebisho kwenye mchizi Wangu remiksi na sio kwenye Ngoma ya Habari ndio hiyo✊✊✊Ata kwenye Mchizi wangu Rmx alisema ivo ivo, ndio nimamalizia ...kila nikiwaza mchizi wangu huenda unateseka...
View attachment 3004699
Sure wanalipwa vizuri, ingawa hatuwezi kufananisha na Football.Kuna uwezekano hawa madereva wakawa wanalipwa pesa ndefu sana zaidi ya football players maana kuvumilia huo mkao kwa over two hours huku ukishindana na 7-9G forces si mchezo + concentration kubwa usifanye mistake yoyote ile si si Jambo dogo. Nafikiria lakini