Madereva wa Formula 1, ni "Marubani" wa Jet za ardhini

Madereva wa Formula 1, ni "Marubani" wa Jet za ardhini

Mchezo mtamu sana... ndio mchezo pekee ambao nimeangalia kwa miaka mingi sana... Personally naangalia F1 kuliko hata football.

Zamani kuna race ilikuwepo South Africa, kwenye track inaitwa Kyalami, ila kwa sababu ya gharama kubwa kuendesha, waliacha. Ikirudi nitakuwa sikosi kabisa, na hivi hata Visa hakuna!
Me sauti za engine tu. Ata nikiwa nje ya track.
 
Ila naona mashindano hayako fear coz naona wanachoshindanisha sio uwezo wa madereva ila uwezo wa magari so hata kama dereva sio best ila akiendesha gari ambalo liko fastest zaidi ya mengine lazima ashinde so naona hata Sasa hiv ukimtoa max red bull umpeleke Aston martins hawezi kushinda
 
Kusema kweli kwa sasa bro tumechelewa. Na ubaya zaidi haya magari sio "street leagl" kwamba ukipata pesa uyanunue utembee nalo barabara ya Mwendokasi.

Kwa sasa closest way kuyaendesha ni kutumia racing SIMS (simulators). Au jaribu kuendesha kart ingawa za bongo sio kwaajili ya racing hazina ata mbio.
Ndio hivyo mkuu ni ndoto ambayo naona ilishajifia mda sana. Ila hako kagari kana sound nzuri sana.
 
Kusema kweli kwa sasa bro tumechelewa. Na ubaya zaidi haya magari sio "street leagl" kwamba ukipata pesa uyanunue utembee nalo barabara ya Mwendokasi.

Kwa sasa closest way kuyaendesha ni kutumia racing SIMS (simulators). Au jaribu kuendesha kart ingawa za bongo sio kwaajili ya racing hazina ata m
Zinauzwaje hizo simulators za huu mchezo?.
 
Kuna video Hamilton alikua anaojiwa. Uwanjani ila yeye alikua hafanyi racing. Ile V10 ilikua ikipita anasahau alichoulizwa. Ikabidi tu akubali, anakuambia: What a sound..
Hata kama ni mimi ningeropoka, kuna milio ya magari inavutia sana.
 
Back
Top Bottom