Madereva wa Formula 1, ni "Marubani" wa Jet za ardhini

Me sauti za engine tu. Ata nikiwa nje ya track.
 
Ila naona mashindano hayako fear coz naona wanachoshindanisha sio uwezo wa madereva ila uwezo wa magari so hata kama dereva sio best ila akiendesha gari ambalo liko fastest zaidi ya mengine lazima ashinde so naona hata Sasa hiv ukimtoa max red bull umpeleke Aston martins hawezi kushinda
 
Ndio hivyo mkuu ni ndoto ambayo naona ilishajifia mda sana. Ila hako kagari kana sound nzuri sana.
 
Zinauzwaje hizo simulators za huu mchezo?.
 
Sisi tubaki kushuhidia races tu kupitia channel no. 228 DSTV bhas. Hii michezo mingine ya wadon maana hata kiingilio chake tu kwa hizo siku tatu balaa....
Huu mchezo uwekezaji wake sio wakitoto, hizo kampuni za magari zinawekeza fedha na ubunifu mkubwa mno.
 
Kuna video Hamilton alikua anaojiwa. Uwanjani ila yeye alikua hafanyi racing. Ile V10 ilikua ikipita anasahau alichoulizwa. Ikabidi tu akubali, anakuambia: What a sound..
Hata kama ni mimi ningeropoka, kuna milio ya magari inavutia sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…