Madereva wa kampuni ya mabasi ya Sauli wamshambulia abiria aliyeripoti kuhusu mwendokasi

Ndio makosa yote ya mishandling
 
Angetumia sms zaidi
 
Uhai ni wa thamani Sana tuulinde. Hyo mabasi inaonekana boss wao ana watu kwenye system, si Bure. Zaman kulikuwa na makosa magari yanafungiwa kusafirisha abiria yakiendekeza makosa barabaran, lkn Sasa ngoma isambe na hkuna wa kuwajibika Tena.
 
1- Hakuna mahala mwandishi alipoandika metre
2-Hakuna standard ya kupima mwendo wa gari kwa kutumia metre.
Ndugu mbona unakuwa mbishi bila ushahidi ? Soma post yake neno kwa neno
 

Attachments

  • Screenshot_20220612-214449_Samsung Internet.jpg
    231.6 KB · Views: 6
Ndugu mbona unakuwa mbishi bila ushahidi ? Soma post yake neno kwa neno
Mkuu- Unajua maana ya speedmeter? 🤣 🤣 🤣 Ukishaelewa hili neno ndo uanze kutengeneza upya hoja yako otherwise tutakuwa tunapoteza muda hapa
 
Sema jomba umeokoa wengi japo umechezea kipigo na ulikua boya kweli baada ya kutuma tukio kwenye group ulitakiwa ufute na uzime simu na ulitakiwa ufanye kimyakimya bila mtu kujua
 
Kinacholeta ajali sio mwendo bali mis handling ya gari na overtake za kipuuuzi.
Kila ulichokitaja hapa kaka kinaakisi kila kitu kuhusiana na madereva wa sauli. Haya mabasi binafsi sijawahi kuyapanda ila nimeyajua kupitia reckless driving kwenye hichi kipande cha kuanzia ubungo mpaka kimara- Kama una gari lako unalipenda, hili basi likiwa karibu yako kuwa mpole tu otherwise fundi atahusika kama siyo maisha
 
Wamekutana na boya tu huyo. Yani vitendo vyote hivyo anafanyiwa katulia tu.
 
Huyo alikuwa boya Mimi ukae na simu yangu,patakuwa hapatoshi vurumai itakayokuwepo Bora hata kichaa wa mirembe,askari wa usalama barabarani wamejaa kote,harafu eti ukae na simu yangu,yaani huyo jamaa alikuwa fala,boya,mjinga na ZEZETA,simu yangu nakubali akae nayo askari polisi sio eti dreva tu ndo aizuie,asingeendesha la sivyo tungeingia mtaroni
 
Hiyo app ya kuangalia speed ya gari ina itwa makini application,IPO play store
 
Hakuna basi lenye huo ustaarabu unaoutaka wewe hasa kwa hicho kipande unachokisema na kwa majira hayo na pia jaribu kuwa dereva wa basi utaelewa ni kwa nn pia madereva wa magari kila kukicha wanawalaumu bodaboda
 
Hakuna basi lenye huo ustaarabu unaoutaka wewe hasa kwa hicho kipande unachokisema na kwa majira hayo na pia jaribu kuwa dereva wa basi utaelewa ni kwa nn pia madereva wa magari kila kukicha wanawalaumu bodaboda
Ishu hapa siyo ustaarabu ninaoutaka mimi au wewe, ishu ni kila mmoja afuate sheria za barabarani na kujali watumiaji wengine wa barabara ili mwisho wa siku sote turudi nyumbani salama. Ishu ya bodaboda ni swala la utekelezaji wa kanuni- Polisi wafanye kazi yao. Bodaboda wa bongo akipelekwa ulaya lazima abadilike tu, huko huwezi kugonga gari la mtu kizembezembe na kuleta majibu ya kijinga otherwise utarudishwa kwenye coffin.
 
Hongera sana ngoja siku tuje kukusanya mabaki yako kwenye kifungashio cha 500. Wenzako juzi walikuwa wanapenda hivyo hivyo hakuna kulala za Mbeya Dar tunakusanya mabaki yao kwenye vifungashio pale Mafinga. Bado wewe, pendeni sifa tu.
Huyo ni zezeta,anapenda speed Kali ,Kuna siku hawatamutambua hata ndugu zake,wapo wachache wajinga kama yeye,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…