ILLUMINATI RUMI
JF-Expert Member
- Aug 21, 2018
- 323
- 327
Kosa sio la bodaboda ni la huyo dreva wa daladala inaonekana alikuwa speed Kali,Sasa Kwa maoni Yako Kwa sababu bodaboda amekufa pamoja na kuwa makini Wewe unaona tuachane na umakini tujiendee tu Kwa sababu hata ukiwa makini utakufa?Ajali kazini.
Boda boda wangu alikuwa makini Sana barabara anaendesha kwa kufuata Sheria,lakini jana daladala imemfata pembeni ikamburuza ndo tumetoka kumsitiri mida hii.Hata wa mwendo wa harusi wanapata ajali
Umakini hauzui ajaliKosa sio la bodaboda ni la huyo dreva wa daladala inaonekana alikuwa speed Kali,Sasa Kwa maoni Yako Kwa sababu bodaboda amekufa pamoja na kuwa makini Wewe unaona tuachane na umakini tujiendee tu Kwa sababu hata ukiwa makini utakufa?
Hivi Abiria wengine walikuwa wapi kumtetea mwenzao hadi akarushwa vituo?Baada ya kutuma tu angezima simu.
Nchi kila mtu rais
Nadhani walimuona kama boya Flani anawachelewesha kufika mapema zaidi so wameunga team DerevaHao abiria wengine walikuwa wamekaa tu?
Ningekuwa ni mimi ningefanya fujo hapo Uyole mpaka wanishushe, hata kioo ningevunja.
Na Abiria Mwenyewe alikuwa Boya! Yaani Unaikubali kirahisi hivyo na Maderrva??Unakubalije kupigwa kirahisi hivyo,polisi wenyewe hawezi kunionea kama sina kosa
...Inaelekea ni ya kutunga na huyo Abiria ni Boya!Hii stori Haina ukweli wowote.
Ubongo wa Mwafrika . Mpaka apate ajali ndio akili imkae Sawa,kuchukua tahadhari hataki. Anakuambia kama siku yako imefika huwezi kuzuia
Huo ndio uchawi wenyewe sasa! Ni nani asiyejuwa Sauli ni bus lenye mwendo mkali kwa sasa? Si angepanda makobe kama Abood ili aupate mwendo anaoutaka.
Wwatu wa mikoani mnakufa ajali kwa kukosa maarifa
Uendeshaji mbaya wa gari moja unaweza kupelekea maafa kwa watumiaji wengine wa barabara, labda useme sauli watengenezewe kanuni zao na barabara zao wenyewe ili watumiaji wengine wa barabara wasizurike- Simple as that.
Kwa hiyo unaona hamna umuhimu wa kulala kwenye chandarua? Unaonaje hospital tufugie kuku sababu kufa kupo tu, si ndio?
Acheni kuua watu kwa speed zenuMtoa mada ni mnafiki na uongo wa hali ya juu umetumika,eti wanampiga na kumwambia why unappetizing maovu yetu?,kusafiri na bus hili ni hiari yako hakuna aliyemlazimisha kusafiri na Sauli, next time do me a favor nenda kapande Aboud, Sauli ina clients wake na service yake ni perfect
Hata mimi nimeshangaa kwakweli tena polisi ningewaeleza kisa kizimaAbiria Ni mpumbavu, unapokonywa simu wakati njiani Kuna police check points nyingi tu,ameshindwa kuwapelekea report