Madereva wa kampuni za Usafiri Bolt na Uber wanaongoza kuharibu biashara ya usafiri

Acha kufanya kauze mihogo
 
Huyo jamaa nikiazi kweli anajua kuanzisha program nirahisi hajui Kuna Kodi, Kuna kulipa wafanyakazi , Kuna matangazo yeye anaropokwa tu kuwa hawafanyi kazi yeyote
Unasema bolt wanachukua 24% halafu hawafanyi kazi yoyote akili yako ndogo sana.... kaa kijiweni usubiri abiria uone moto wake.
 
na kuna abiria wanaakili mbovu sana maana wao wanajua huo usafiri ni wa bolt/uber/farasi kwahiyo hata ikitokea dereva amemkatalia kumsogeza abiria sehemu tofauti na alipo request.......anaishia ntakureport bila kujua nini kinatokea baada ya kureport
 
Noma sana
 
Ndio sisi location zetu haziko clear sana kama sio sehemu maarufu
 
Mimi ni mtumiaji wa huu usafiri ila toka mwanzo Bolt mnyeyusho sana angalao uber walikuwa wazuri mno sema walivyoondoka wakarudi mambo pia yamebadilika hakuna madeva waxzuri kama mwanzo. but nakushauiri i vema uchukue Uber, au Farasi kuliko bolt
Ni kweli Uber wakati inaanza huduma ilikuwa nzuri sana na madereva walikuwa professional, siku hizi hakuna tofauti kati ya na bolt, uhuni mwini sana na huduma zao wote ni mbovu mno.
 
Ndio sisi location zetu haziko clear sana kama sio sehemu maarufu
kwahiyo hapo ulipoweka si karibu na kwako.......utatembea tu......usipende vya bure maana kuongeza pesa umekataa na yeye awezi kuongeza safari
 
WATANZANIA TUNA MATATIZO SANA.

Hizi Ubber na Bolt mbona kwingineko zinaoperate bila shida na ndio usafiri salama unaokimbiliwa na watu.

Wabongo hatupendi sana challenge.
 
24% ya 1000 siyo 260.

Kuna siku nipo Mabibo Mwisho nataka kwenda Mkwajuni, nikibolt hua 4000 simu ikawa imezima chaji nikamuuliza boda sh ngapi nikitaka kwenda Mkwajuni akasema 10,000 nikamuambia hua narequest inakua 4000 hapa simu imezima. Nakulipa 6000 akagoma anakomaa 10,000.
 
Wajinga ndio waliwao๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
๐Ÿ‘๐Ÿ‘๐Ÿ‘
 
Sasa wewe abiria unahusika vipi na hizo changamoto za hayo makampuni na huyo dereva??

Kwanini dereva asiachane na hizo kampuni akafanya kazi mwenyewe, kama anabond na hizo kampuni ina maana kuna namna ananifaika, ni ishu ya yeye dereva na hizo kampuni kukaa na kupanga hizo bei anazotaka dereva.

Ila hii kumhusisha abiria kwenye ishu za dereva na hao ubar/bolt/farasi sio sawa maana abiria wengi hamna anachoelewa zaidi ya kile hizo kampuni zinakitangaza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ