Madereva wa mabasi ya Kanda ya Ziwa kuelekea Dar acheni ligi barabarani

Madereva wa mabasi ya Kanda ya Ziwa kuelekea Dar acheni ligi barabarani

Wapigie matrafiki wa eneo hilo, namba zipo kwenye tiketi ama pia kwenye bus husika huwa wanaandika namba hapo.

Unatuambia sisi wakulima wa huku katavi tufanye nini?
 
Mkuu mbona sikuhizi Hawakimbiii! Kuna siku nilitoka huko saa kumi na mbili, saa moja na nusu tulikua ubungo Shell, enzi zile kuna zile Ally's sports achana na hizi Ally's star.. 2011 hiyo, zilikuaga scania 95 hatari sana!
 
Abiria ni sehemu ya huo upuuzi, kuna namba za sumatra humo ndani ya gari
 
Umbali na urafu. Kuna siku nilitoka Dar na hiyo Ally stars was kumi na mbili tulifika Dom saa nane na nusu. Wakati Shabiby na mwendo wake wa kawaida anatumia muda huo huo. Sasa nikagundua hizo gari wala hazikimbii.
 
Ndio barabara yenye bus nyingi

Allys
Tungis
Tanzanite
Happy nation
Kibo
Kisbo
Isamilo
Kisesa
Zuberi
Abood
Najimunisa
Dar lux
Na N.K

Mbona madereva wanapeana nafasi ktk kupitana
Hawana kubaniana

Shinyanga mnaingia pamoja
Singida mnaingia pamoja ktk misosi
Hata dodoma pia.

Kuachana kunaanza Dom kuelekea Moro hapo akikutangulia mtu amekutangulia aiseh
 
Back
Top Bottom