Madereva wa mabasi ya Kanda ya Ziwa kuelekea Dar acheni ligi barabarani

Madereva wa mabasi ya Kanda ya Ziwa kuelekea Dar acheni ligi barabarani

Bora Mkuu! Hiyo siku iligongwa gia na Dereva mmoja alikua anaitwa Mzee Paulo! Tulipotoka Gairo kuitafta msamvu mzee alimwaga moto mpaka nikaanza kujilaum kwanini sikuandaa zuberi au master city!
Hatari Sana hiyo ..haifai
 
Tumetoka hapa Nyegezi Stand muda si mrefu.

Aisee, haya mabasi yanakimbizwa hatari. Naona kuna ligi flani inafanywa barabarani.

RTO wa mikoa husika chukueni hatua.
Kuna vile ving'amuzi walifunga vya kazi gani!!!!

Au kuna mzito huko TCRA naye anamiliki bus
 
Tumetoka hapa Nyegezi Stand muda si mrefu.

Aisee, haya mabasi yanakimbizwa hatari. Naona kuna ligi flani inafanywa barabarani.

RTO wa mikoa husika chukueni hatua.
Ligi barabarani ni hatari sana
 
Shida ya kusafr mara ya kwanza safari ndefu.

Mwendo wa mabasi cku hizi wa kinyonga kabisa, kabla ya sheria kali na kufuata vibao naona ungeshuka kabisa.

magari yalikuwa yanatoka dar saa 12 asbh saa 12 jioni yako nzega, saa 1 kahama au shinyanga.

Sasa saiv toka dar mpaka kahama au shy yanafika mpaka saa 4 au 5 ucku.

Huo unaoona wewe ni mwendo zaman ungeshuka.

Cku ile company ya CITY BUS yanagongana ya Company moja zilikuwa mbele yetu tuko nyuma na KISBO gari kama zilikuwa zinapaa kabisa.
 
Tumetoka hapa Nyegezi Stand muda si mrefu.

Aisee, haya mabasi yanakimbizwa hatari. Naona kuna ligi flani inafanywa barabarani.

RTO wa mikoa husika chukueni hatua.
Mwanza siyo moro mkuu. Na ukifika dom utaomba aongeze mwendo ili ufike upumzike
 
Mkuu mbona sikuhizi Hawakimbiii! Kuna siku nilitoka huko saa kumi na mbili, saa moja na nusu tulikua ubungo Shell, enzi zile kuna zile Ally's sports achana na hizi Ally's star.. 2011 hiyo, zilikuaga scania 95 hatari sana!
Kulikuwa na Leina ya kahama, nayo ilikuwa inaondoka balaa
 
Shida ya kusafr mara ya kwanza safari ndefu.

Mwendo wa mabasi cku hizi wa kinyonga kabisa, kabla ya sheria kali na kufuata vibao naona ungeshuka kabisa.

magari yalikuwa yanatoka dar saa 12 asbh saa 12 jioni yako nzega, saa 1 kahama au shinyanga.

Sasa saiv toka dar mpaka kahama au shy yanafika mpaka saa 4 au 5 ucku.

Huo unaoona wewe ni mwendo zaman ungeshuka.

Cku ile company ya CITY BUS yanagongana ya Company moja zilikuwa mbele yetu tuko nyuma na KISBO gari kama zilikuwa zinapaa kabisa.
Kisbo inapaa jamani, ile kama mnatoka dar mkifika singida aiseee au kama mnatoka mwanza mkifika dom jama utadhani mko kwenye chopa ya chini
 
Acha bwana Zuberi hutoa mpaka 5.
Ally's siku hz zinatoka tatu za Mwanza, bado za shinyanga mbili na simiyu mbili. Isamilo zinaingia kama tano asb n.k. kampuni nyingi zinatoa gari zaidi ya moja.
 
Ally's ya machungwa [emoji521]
Phoenix la masaaa
Dar lux
Tungis a.k.a mlevi
Kiaz kitamu vs Asante Rabi
Kisbo
Bkb-dar kuna frester inaitwa DPP la umeme

Aisee Asubuhi ukikutana nazo hizo ni ndege za chini VTS zinachezewa sana tena wakishirikiana na mamlaka
 
Back
Top Bottom