tang'ana
JF-Expert Member
- Apr 3, 2015
- 11,931
- 15,849
Mbona ubungo hatuonagi hizo mbwembwe mkuu?Hizo ni mbwembe Tu za asubuhi usitishike Sana!!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona ubungo hatuonagi hizo mbwembwe mkuu?Hizo ni mbwembe Tu za asubuhi usitishike Sana!!!
Acha kulialiaLakini ikitokea ajali wanamlaumu Dereva!
Tulia wewe,hujui lolote zaidi ya kutema pumba tu humu ili mradi tu na wewe usisahaulike kua umo humu pia.Acha kulialia
Ligi nzuri sema umakini ndio muhimu zaidi. Hakuna kitu machukia kama kupanda gari afu ipitwe na magari mengine hua inamiuma sana natamani kumtukana dereva
Ubungo imekaa vibaya alafu Magari madogo ni mengi huwezi kufanya mbwembeMbona ubungo hatuonagi hizo mbwembwe mkuu?
Mkuu, gari za Mwanza nyingi hazina VTS au labda zimechezewa.Dar Mwanza mbali, gari lazma itembee..
Mabasi yamefungwa VTS hayaendi zaidi ya 80 au 85 KPH
Kuna jamaa hapo kasema wako rough ila hawakimbii
Ligi mbona tamu tuu
Mkuu, tafuta namba ya trafiki utoe taarifa huko kabla mambo hayajaharibikaTumetoka hapa Nyegezi Stand muda si mrefu.
Aisee, haya mabasi yanakimbizwa hatari. Naona kuna ligi flani inafanywa barabarani.
RTO wa mikoa husika chukueni hatua.
Mkuu si kweli kwamba Mwanza- Dar ina gari nyingi kushinda njia nyingine kwa mfano Dar -Arusha.Ndio barabara yenye bus nyingi
Allys
Tungis
Tanzanite
Happy nation
Kibo
Kisbo
Isamilo
Kisesa
Zuberi
Abood
Najimunisa
Dar lux
Na N.K
Mbona madereva wanapeana nafasi ktk kupitana
Hawana kubaniana
Shinyanga mnaingia pamoja
Singida mnaingia pamoja ktk misosi
Hata dodoma pia.
Kuachana kunaanza Dom kuelekea Moro hapo akikutangulia mtu amekutangulia aiseh
Weka takwimu mkuuMkuu si kweli kwamba Mwanza- Dar ina gari nyingi kushinda njia nyingine kwa mfano Dar -Arusha.
Hizo kampuni nyingi huwa ni gari moja tu inatoka Labda Ally star Ndio huwa anatoa 3
Kumbuka njia ya dar-mwanza inajumuisha mikoa ya kanda ya ziwa,mikoa ya kanda ya kati na mikoa ya magharibi.hivyo ni njia yenye mabasi mengi sana ndio maana kunakua na league za kijinga.Mkuu si kweli kwamba Mwanza- Dar ina gari nyingi kushinda njia nyingine kwa mfano Dar -Arusha.
Hizo kampuni nyingi huwa ni gari moja tu inatoka Labda Ally star Ndio huwa anatoa 3
Pale kuna sammy isamilo na nyingine kiibaoooNdio barabara yenye bus nyingi
Allys
Tungis
Tanzanite
Happy nation
Kibo
Kisbo
Isamilo
Kisesa
Zuberi
Abood
Najimunisa
Dar lux
Na N.K
Mbona madereva wanapeana nafasi ktk kupitana
Hawana kubaniana
Shinyanga mnaingia pamoja
Singida mnaingia pamoja ktk misosi
Hata dodoma pia.
Kuachana kunaanza Dom kuelekea Moro hapo akikutangulia mtu amekutangulia aiseh
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaaahLigi nzuri sema umakini ndio muhimu zaidi. Hakuna kitu machukia kama kupanda gari afu ipitwe na magari mengine hua inamiuma sana natamani kumtukana dereva
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ally's star Rudi kwa mganga wako washaanza kukuchawia[emoji1787][emoji1787][emoji125]