Mkuu pole sana! Mungu Mkubwa tuko wote Leo.Toka nipate ajali na basi la Ally's star mwaka jana..sina hamu na hiyo njia tena.bora nijichange nipande pipa tu.
Wewe debe tupu acha kelele,unadhani Mabasi ya abiriaa hua yana beba viazi? halafu yakipata ajali wewe ndio utakua wa kwanza kuja kuhara humu.Acha woga wewe
Lakini ikitokea ajali wanamlaumu Dereva!Abiria wengine wanapongeza na kushangalia.