Madereva wa mabasi ya Kanda ya Ziwa kuelekea Dar acheni ligi barabarani

Nadhani unaongelea zile sarakasi toka nyegezi mpaka usagara baada ya hapo ni mwendo wa kawaida kulingana na spidi yao
 
Hii mamlaka pia ya latra wanafanya nini? tatizo naona ni MD mmoja kuwepo pale miaka yote na anashindwa kuja na sera pia za kuwabana hawa watu. Ni vyema serikali ikafanya mabadiliko mapya ktk hii taasisi ili MD mwenye weledi aweze kuleta usimamizi kama ma-MD waliopita.
 
Dar Mwanza mbali, gari lazma itembee..

Mabasi yamefungwa VTS hayaendi zaidi ya 80 au 85 KPH

Kuna jamaa hapo kasema wako rough ila hawakimbii

Ligi mbona tamu tuu
Mkuu, gari za Mwanza nyingi hazina VTS au labda zimechezewa.

Wiki iliyopita nilipanda Frester, akawa anafukuzana na Ally's. Speed hadi zaidi ya 120k/h. Wako rough sana.
 
Tumetoka hapa Nyegezi Stand muda si mrefu.

Aisee, haya mabasi yanakimbizwa hatari. Naona kuna ligi flani inafanywa barabarani.

RTO wa mikoa husika chukueni hatua.
Mkuu, tafuta namba ya trafiki utoe taarifa huko kabla mambo hayajaharibika
 
Mkuu si kweli kwamba Mwanza- Dar ina gari nyingi kushinda njia nyingine kwa mfano Dar -Arusha.
Hizo kampuni nyingi huwa ni gari moja tu inatoka Labda Ally star Ndio huwa anatoa 3
 
Mkuu si kweli kwamba Mwanza- Dar ina gari nyingi kushinda njia nyingine kwa mfano Dar -Arusha.
Hizo kampuni nyingi huwa ni gari moja tu inatoka Labda Ally star Ndio huwa anatoa 3
Weka takwimu mkuu
 
Mkuu si kweli kwamba Mwanza- Dar ina gari nyingi kushinda njia nyingine kwa mfano Dar -Arusha.
Hizo kampuni nyingi huwa ni gari moja tu inatoka Labda Ally star Ndio huwa anatoa 3
Kumbuka njia ya dar-mwanza inajumuisha mikoa ya kanda ya ziwa,mikoa ya kanda ya kati na mikoa ya magharibi.hivyo ni njia yenye mabasi mengi sana ndio maana kunakua na league za kijinga.
 
Pale kuna sammy isamilo na nyingine kiibaooo
 
Ligi nzuri sema umakini ndio muhimu zaidi. Hakuna kitu machukia kama kupanda gari afu ipitwe na magari mengine hua inamiuma sana natamani kumtukana dereva
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaaah
 
Abiria wengi wanapenda ligi. Ila ikitokea ajali lawama anapewa driver.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…