nyampanaga
JF-Expert Member
- Nov 16, 2012
- 1,104
- 559
Hatari Sana hiyo ..haifaiBora Mkuu! Hiyo siku iligongwa gia na Dereva mmoja alikua anaitwa Mzee Paulo! Tulipotoka Gairo kuitafta msamvu mzee alimwaga moto mpaka nikaanza kujilaum kwanini sikuandaa zuberi au master city!
Kuna vile ving'amuzi walifunga vya kazi gani!!!!Tumetoka hapa Nyegezi Stand muda si mrefu.
Aisee, haya mabasi yanakimbizwa hatari. Naona kuna ligi flani inafanywa barabarani.
RTO wa mikoa husika chukueni hatua.
Ligi barabarani ni hatari sanaTumetoka hapa Nyegezi Stand muda si mrefu.
Aisee, haya mabasi yanakimbizwa hatari. Naona kuna ligi flani inafanywa barabarani.
RTO wa mikoa husika chukueni hatua.
Aisee hujakufa?Toka nipate ajali na basi la Ally's Star mwaka jana, sina hamu na hiyo njia tena. Bora nijichange nipande pipa tu.
Unahisi anatoa huu ushuhuda wake akiwa yuko kaburini! 😇Aisee hujakufa?
Mwanza siyo moro mkuu. Na ukifika dom utaomba aongeze mwendo ili ufike upumzikeTumetoka hapa Nyegezi Stand muda si mrefu.
Aisee, haya mabasi yanakimbizwa hatari. Naona kuna ligi flani inafanywa barabarani.
RTO wa mikoa husika chukueni hatua.
Huyo anabisha tu hakuna njia yenye Chuma nyingi kama Dar Mwanza.Weka takwimu mkuu
UongooBro hizo chuma zilikuwa zinatembea sana,zilipelea akafungiwa root ya dar mwanza,waliingiza gari nyegezi SAA kumi na mbili 15'
VTS haikuzuii kukimbiaSiku hizi bus hazikimbii mbwembwe tuu,zamani sawa zimefungwa VTS na Latra zote labda mtu achezeee
Kulikuwa na Leina ya kahama, nayo ilikuwa inaondoka balaaMkuu mbona sikuhizi Hawakimbiii! Kuna siku nilitoka huko saa kumi na mbili, saa moja na nusu tulikua ubungo Shell, enzi zile kuna zile Ally's sports achana na hizi Ally's star.. 2011 hiyo, zilikuaga scania 95 hatari sana!
Sikujua kuwa hata stend watu wanabet kuwa gari gani itakuwa ya kwanza kuingiaMachalii wameBet,wewe vumilia ukifika salama unamshukuru Mungu.
Ni kweli kbs kuna zinazotoka Musoma, simiyu zote njia ni moja tu.Huyo anabisha tu hakuna njia yenye Chuma nyingi kama Dar Mwanza.
Phonex bharatbez imetulia sanaLeo niko na mnyama mmoja anaitwa Phoenix.Allys kaachwa huko nyuma sana
Kisbo inapaa jamani, ile kama mnatoka dar mkifika singida aiseee au kama mnatoka mwanza mkifika dom jama utadhani mko kwenye chopa ya chiniShida ya kusafr mara ya kwanza safari ndefu.
Mwendo wa mabasi cku hizi wa kinyonga kabisa, kabla ya sheria kali na kufuata vibao naona ungeshuka kabisa.
magari yalikuwa yanatoka dar saa 12 asbh saa 12 jioni yako nzega, saa 1 kahama au shinyanga.
Sasa saiv toka dar mpaka kahama au shy yanafika mpaka saa 4 au 5 ucku.
Huo unaoona wewe ni mwendo zaman ungeshuka.
Cku ile company ya CITY BUS yanagongana ya Company moja zilikuwa mbele yetu tuko nyuma na KISBO gari kama zilikuwa zinapaa kabisa.
Ally's siku hz zinatoka tatu za Mwanza, bado za shinyanga mbili na simiyu mbili. Isamilo zinaingia kama tano asb n.k. kampuni nyingi zinatoa gari zaidi ya moja.Acha bwana Zuberi hutoa mpaka 5.