Nyafwili
JF-Expert Member
- Nov 27, 2023
- 4,240
- 10,561
- Thread starter
-
- #241
Ni sawa
Lakini Kwa wasafiri ,hasa ukiwa na watt andaa chakula alifajiri kabla hujaondoka kuepuka gharama!
Hiyo elf 5 angenunua viazi vya elf 3 angewahi kuamka ,akakaanga chips , akaweka kwenye container,!na soda take away 2 mbona fresh tu!
Au badala ya soda angenunua matunda ya buku 2 kipindi hiki maembe ta kutosha tengeneza juice,ilaze kwenye friji asbhi inakua imeganda kabisa,mpk muda wa kula masaa 5-6 inakua imeyeyuka kabisa!
Sipendi vyakula vya njiani naogopa kuumwa tumbo!
Labda kuku wa kuchoka,biscuit ,soda nje ya hapo hapana!
Hapa unazungumzia upande wa watoto,Lakini Kwa wasafiri ,hasa ukiwa na watt andaa chakula alifajiri kabla hujaondoka kuepuka gharama!
Je mtu baki, anayetaka kula kawaida chakula anachotaka yeye,?