Madereva wa mikoani, tabia na utaratibu wa kupaki mabasi sehemu ya chakula chenye bei juu mnaumiza abiria wenye kipato kidogo

Madereva wa mikoani, tabia na utaratibu wa kupaki mabasi sehemu ya chakula chenye bei juu mnaumiza abiria wenye kipato kidogo

Ni sawa
Lakini Kwa wasafiri ,hasa ukiwa na watt andaa chakula alifajiri kabla hujaondoka kuepuka gharama!

Hiyo elf 5 angenunua viazi vya elf 3 angewahi kuamka ,akakaanga chips , akaweka kwenye container,!na soda take away 2 mbona fresh tu!
Au badala ya soda angenunua matunda ya buku 2 kipindi hiki maembe ta kutosha tengeneza juice,ilaze kwenye friji asbhi inakua imeganda kabisa,mpk muda wa kula masaa 5-6 inakua imeyeyuka kabisa!

Sipendi vyakula vya njiani naogopa kuumwa tumbo!

Labda kuku wa kuchoka,biscuit ,soda nje ya hapo hapana!

Lakini Kwa wasafiri ,hasa ukiwa na watt andaa chakula alifajiri kabla hujaondoka kuepuka gharama!
Hapa unazungumzia upande wa watoto,

Je mtu baki, anayetaka kula kawaida chakula anachotaka yeye,?
 
Ndo maana waislam husema safari ni haram,ukitaka kusafiri kwa raha usikwepe gharama.
Unakula kwa garama lakini chakula bado kinakuwa cha hovyo...
 
• Mbona wewe haujatumia akili ku-comment, iweje mimi nitumie akili.?
• Nyinyi FIS EM ndo mnaleta umasikini hapa Tz
Tazama matajiri wa Tanzania unaowafahamu halafu nambie CCM wamo au hawamo?

Utajuta kuongea kijinga.

Wewe ulifikiri kuna kula bure basi linaposimama?
 
Furaha ktk maisha ni zile good moments na hakuna starehe nzuri inayoleta furaha kama kula
Na ndo maana, ukimpeleka mtoto clinic, lazima umununulie juice, matunda, na vinginevyo, ( hasa sisi tulio kulia vijijini), ndo maana ya safari.
 
Na ndo maana, ukimpeleka mtoto clinic, lazima umununulie juice, matunda, na vinginevyo, ( hasa sisi tulio kulia vijijini), ndo maana ya safari.
Kabisa...safari bila ya kula njiani huwa inaboa...ndio maana hata kwenye ndege huwa tunapewa chakula licha ya kukuta unasafiri safari ya masaa machache tu. Ukila chakula kizuri kuna hormone ya dopamine inaachiwa mwilini inakupelekea kujiskia furaha
 
nimesafiri na hiyo njia mara nyingi ila kwa elfu 7 kuwa bei ya chini kuna walakini mfano sehemmu kama aljazira bei ni 3000 wali maharage na mbogamboga,wali nyama 5000..ila msosi mbovu. Kuna ule mgahawa wa kinyanambo na iringa pale ndo jau sambusa tu inafika 1000 ila bado wali bei ya chini sio elfu 7.
OK Sawa mkuu, Tufanye wali nyama 5000, Wali gani huo?, maharage machache, wali zimejaa chenga chenga tu.
 
Tazama matajiri wa Tanzania unaowafahamu halafu nambie CCM wamo au hawamo?

Utajuta kuongea kijinga.

Wewe ulifikiri kuna kula bure basi linaposimama?
•Fisi wa CCM, hela zao huweka nchi za nje
• vigogo wa ccm, hutumia majina tofauti kuendesha miladi yao.


FIS mwingine wa ccm amejiacha lake oil, ( najua utasema siyo kweli)
 
Kabisa...safari bila ya kula njiani huwa inaboa...ndio maana hata kwenye ndege huwa tunapewa chakula licha ya kukuta unasafiri safari ya masaa machache tu. Ukila chakula kizuri kuna hormone ya dopamine inaachiwa mwilini inakupelekea kujiskia furaha
Yeah mkuu,
 
Hii ya kuwa na uhakika wa wateja ilibidi iwafanye wauze kawaida. Maana faida ipo, ila wao wamekaa kindezi kuwaza faida kubwa zaidi.

Balozi Polepole kwenye kipindi cha hoja za wananchi sijui channel ten aliagiza kuwa mabasi yasimame stendi dakika 20 watu wale vyakula kwenye migahawa waitakayo, na sio kuwalazimisha wale kwenye hotel moja.

Kabla ya utekelezaji akapewa ubalozi. Hayajatekelezwa mpaka leo.
Tatizo sheria hazisimamiwi kisheria
Anatokea mmoja anasema hili lakini hawalipigilii msumari
Yaani viongozi wanaenda kwa matukio
Likija hili wanajifanya watatatua ila kesho linakuja lingine wanahama tena
Ni hopeless kabisa
 
• 😄😄Dah, Litakua hilo paja halikuiva vizuri mkuu,

• Tupe na radha ya ndege Tai, anamafuta sana, au kawaida tu.
Nyama lake gumu na mifuta kibao.
Aliyeniuzia chipsi yai kienyeji ndo alinishtua.
Walikua wanauza banda tofauti jirani tu.
Mi nilipopashiwa lile paja na njaa zangu nikaanza kutafuna.
Na jamaa alikua na nyama ya hiyo mindege tu hauzi chips.
Na anasema ni kuku wa kienyeji
 
Nyama lake gumu na mifuta kibao.
Aliyeniuzia chipsi yai kienyeji ndo alinishtua.
Walikua wanauza banda tofauti jirani tu.
Mi nilipopashiwa lile paja na njaa zangu nikaanza kutafuna.
Na jamaa alikua na nyama ya hiyo mindege tu hauzi chips.
Na anasema ni kuku wa kienyeji


Nyama lake gumu na mifuta kibao.
😄😄, ukiaza kuumwa tumbo, kupona mpaka upelekwe muhimbili,
 
Wengine safari ndo inakua ni mara ya kwanza,, kwa hiyo usiseme ni mjinga
Bado huwezi mtetea ukienda mahali lazima kuna taarifa utahitaji kupata kwa walio wahi kufika, hiyo inaitwa kujivunza sasa kama hutataka kupata taarifa kwa walio kutangulia huo ndio ujinga wenyewe sasa
 
We kweli ni bwege, usijifanye una uwezo wakati bado ndugu zako maskini wa kutupwa. Acha arrogance, dharau na roho mbaya km hiyo. LATRA ilazimishe mabasi kusimama mjini kwa ajili ya chakula siyo kulazimisha watu kwenda kwenye hoteli za wezi.
Utaratibu wa kampuni ya basi ni kula kwenye hoteli za wezi ambazo wezi hao wamewekeza pesa wapate faida na sio kutoa msaada kwa masikini. Wewe masikini tafuta basi linashusha stend ukale, lakini kwa kua una kiherehere cha kupanda mabasi yanashusha kwenye hotel za wezi basi kubaliana na hali zote za kiwizi. LA HUWEZI, KAPANDE MABASI YA MASIKINI WENZIO UKAE NDANI YA BASI NA MBUZI NA MABATA. Hakuna mtu wa kukuonea huruma watu wamewekeza pesa zao wapate faida na sio kutoa msaada.
 
Zamani ukitoka mbeya na bus letu kamata au relwe na wengine wote kituo ni rujewa mnapiga chai,mikate mayai,
Safari inaendelea.
Iringa ngoma inapanda juu stendi mnaenda kupiga menyu popote hali yako tu.
Mama ntilie kibao ,una hela kulikua na hotel pote pale.
Unakula mnatimua.
Kwenda Dom Mtera hapo mkipanda king cross,shalawambe au Urafiki mkifika pale bwawani kuna wamama walikua wanauza msosi mtamu balaa.
Wali maharage unapewa bonge la perege.
Bei 500 tu enzi hizo.
Manyoni stendi pale bus linasimama mnaambiwa kaleni mnakotaka kuna waarabu wana mahoteli kibao pale mnakula na dereva haondoi gari km mtu hajakaa mle ndani.
Kulikua hamna haraka.
Njia mbovu yaani abiria mpk mnakua ndugu.
Singida Iramba gari iguguno pale inapigwa kigogo mnatafuna kuku kienyeji km wote,unabeba dumu lako la maji twenzetu maana kufika ni majaliwa.
Singida-Arusha babati breki mnakula mbuzi mpk mkome mnazama kwenye mchuma safari inaendelea.
Dodoma-Arusha ,kondoa pale ikisimama bus mtakula nyama mpk za porini.
Haya tukiunga Mtwara-Dar kula Rufiji tu au Nangulukulu.
Hapo mi nilikua natafuna samaki tu.
Mnaopenda Nyama huwa mnalishwa vitu vya ajabu tu huko njiani.
Siku tulikwama porini hapo mbele ya nangulukuru matopeni ikachukua siku nzima kuchomoka.
Tumefika kijiji jirani Somwe sijui tuna njaa balaa.
Tukazama vihotel vyao aloo yaliletwa mapande ya manyama sio ya nchi hii.
Na viazi,mi nilitafuna viazi na chai maziwa poa.
Enzi zetu ukisafiri kufika ni majaliwa.
Tunatoka nyumbani na mabumunda,maandazi dumu la maji lita 5-10,nyama za kukausha(biltongs) kibao
Hamna cha juice,wala soda
Mkikwama huko njiani hata wiki unasurvive.
Sasa siku hizi kuna hawa matapeli wa usafiri mnakoma.
Mi nakula mwewe tu then naunga gari nikikaribia bush.
 
Bado huwezi mtetea ukienda mahali lazima kuna taarifa utahitaji kupata kwa walio wahi kufika, hiyo inaitwa kujivunza sasa kama hutataka kupata taarifa kwa walio kutangulia huo ndio ujinga wenyewe sasa

Bado huwezi mtetea ukienda mahali lazima kuna taarifa utahitaji kupata kwa walio wahi kufika
• Jaribu kuwa seriously basi, hao waliowahi kufika akina nani sasa?
• Kuna safari nyingine siyo lazima mwambie mtu baki, na je kama unaojuana nao hawajawahi enda hiyo trip! Utamuuliza Nani, au tuwe tunapiga ramli kabla ya safari?
 
Back
Top Bottom