Madereva wa mikoani, tabia na utaratibu wa kupaki mabasi sehemu ya chakula chenye bei juu mnaumiza abiria wenye kipato kidogo

Madereva wa mikoani, tabia na utaratibu wa kupaki mabasi sehemu ya chakula chenye bei juu mnaumiza abiria wenye kipato kidogo

Hya malalamiko huwa yanaletwa hapa mara kwa mara. Tatizo watanzania ni manyumbu yanapenda kulalamika bila kuchukuwa hatua. Tungekuwa tunakomaa wakati wa uchaguzi kulinda kura hawa watawala wasingetuchezea namna hii.


Tungekuwa tunakomaa wakati wa uchaguzi kulinda kura hawa watawala wasingetuchezea namna hii.
• Chazo cha maisha magumu kipo hapa ✍️.
• uchaguzi ukifika huwa tunasahau kabisa shida zote, tunabaki kuhongwa kofia tu.
 
Tanzania kila kitu ni madili madili tu kwa anayepata furusa ,hapo utakuta madereva katika hizo hotel wanalipwa mishahara,hapo ndio ule msemo kula urefu wa kamba yako unamaanisha ,all in all ukiona gharama kubwa kununua pika nyumbani weka kwenye hotpot more especially kama una watoto wengi alafu uwezo wako unaona hauta mudu gharama za hizo hotel.
 
Sijui wanatuchukuliaje wasafiri sababu hatuna option nyingine🤔 ila kuna siku nilienda Moshi na Kilimajaro Express sijui ni hotel yao ile atleast wanajitahidi chips safii nikashangaa maana nishazoea Mbeya kwetu mwendo mdundo chips zimepoaa 😀(sijui ni ulafi ila lazima nile njiani)
Nikisafiri nisipokula njian naona kama safari haijakamilika, napenda tu sio ulaku
 
Kwa nini unataka kupangia watu wale nini? You are very selfish! Hivi mtu kama wewe ukipata uongozi si utakuwa hatari sana kuliko hata CCM? Kwanini kusiwe na mpango wa magari kusimama stendi kama zamani? Mbona zamani stendi kulikuwa na hotel na vyakula vizuri tu tena bei nzuri?
Mbona zamani stendi kulikuwa na hotel na vyakula vizuri tu tena bei nzuri?

• Mambo yalikuwa murua sana, mama zetu na dada zetu walikuwa wanatuhudumia vizuri sana, na kwa bei rafiki.
 
Ila nyie watu ni walafi sana,. Arusha to Dar unakula nini?
• Mkuu kwani safari ya Dar to Arusha, inatumia masaa mangapi?
• Je ukiwa nyumbani huwa unakaa mda gani ndo upate chakula
• Mkuu safari ya Dar to Arusha, kama umebeba watoto nao watakaa bila kula.
• Kuna hawa wagonjwa wa vidonda vya tumbo, tunawasaidiaje ili wasiumwe zaidi matumbo yao?
 
Mi niliagiza wali kuku bila kuuliza bei jirani yangu akaagiza ugali dagaa wakati wa kulipia yule wa ugali dagaa akauliza shingapi akajibiwa 9500 ilibidi mi nilieagiza kuku nizimie kwanza nilijua wakinikosakosa sana bill inakuja elfu 50

ugali dagaa akauliza shingapi akajibiwa 9500
😀😀😀, mkuu si dagaa hizi hizi au kuna dagaa nyingine toleo jipya ???
 
Ulitaka serikali ipange bei ya chakula?Halafu mpige kelele tena kwamba ni ya kidikteta?Supply and demand ndio inaamua bei ya bidhaa.Uchumi wa kupangiana bei sio mzuri.Bei ni mapatano ya muuzaji na muuziwa.Ukiona haikufai acha.Muuzaji atateremsha bei kwa sababu ya demand ndogo.


Tatizo lako ni Elimu, ila hii elimu haijakusaidia kuelimika,

Hivi unafikiri ile gharama ya Elimu ya msingi inaongozwa na demand and supply?

Unafikiri gharama ya kusoma chuo kikuu inaongozwa na demand and supply? Ungesoma wewe?

Pumbavu kabisa, hii ndo shida ya wavulana mnaoishi mwananyamala, mna matataizo makubwa sana kupita maelezo
 
Back
Top Bottom