Malaika wa Misukosuko
JF-Expert Member
- Jul 16, 2021
- 2,470
- 7,376
Kumradhi ivi picha kwenye Dp hapo ni wewe ? Jibu linaruhusiwa kuja DMChakula cha njiani ni shida(Dar_Mbeya), unakula tu kutuliza njaa, bei kubwa kibayaa
Hya malalamiko huwa yanaletwa hapa mara kwa mara. Tatizo watanzania ni manyumbu yanapenda kulalamika bila kuchukuwa hatua. Tungekuwa tunakomaa wakati wa uchaguzi kulinda kura hawa watawala wasingetuchezea namna hii.
β’ Chazo cha maisha magumu kipo hapa βοΈ.Tungekuwa tunakomaa wakati wa uchaguzi kulinda kura hawa watawala wasingetuchezea namna hii.
Wapi sasa?....kila mtu akitaka sehemu anayotaka yeye ndio basi lisimame ili ale, hiyo Safari mtafika lini ?Upo sahihi kabisa mkuu, lakini Madereva wastulazimishe tukale sehemu fulani.. Basi lisimame sehemu ambayo kila mtu awe na uhuru wa huduma.
Nikisafiri nisipokula njian naona kama safari haijakamilika, napenda tu sio ulakuSijui wanatuchukuliaje wasafiri sababu hatuna option nyingineπ€ ila kuna siku nilienda Moshi na Kilimajaro Express sijui ni hotel yao ile atleast wanajitahidi chips safii nikashangaa maana nishazoea Mbeya kwetu mwendo mdundo chips zimepoaa π(sijui ni ulafi ila lazima nile njiani)
Kwa nini unataka kupangia watu wale nini? You are very selfish! Hivi mtu kama wewe ukipata uongozi si utakuwa hatari sana kuliko hata CCM? Kwanini kusiwe na mpango wa magari kusimama stendi kama zamani? Mbona zamani stendi kulikuwa na hotel na vyakula vizuri tu tena bei nzuri?
Mbona zamani stendi kulikuwa na hotel na vyakula vizuri tu tena bei nzuri?
I'm always taking a flight, ila kuna wakati ni lazima nivae viatu vya watu ambao wako kule mimi nilikokuwa zama zileUtasusa wewe wenye pesa zao watakula
Wala usijidanganye, ishi maisha yako.I'm always taking a flight, ila kuna wakati ni lazima nivae viatu vya watu ambao wako kule mimi nilikokuwa zama zile
β’ Mkuu kwani safari ya Dar to Arusha, inatumia masaa mangapi?Ila nyie watu ni walafi sana,. Arusha to Dar unakula nini?
Sasa kama ATCL inafika hadi Songea Mkoani Ruvuma, kwanini nihangaike?Wala usijidanganye, ishi maisha yako.
Ninachoweza huwa naweza kumnunulia mhitaji chakula lkn sio kuunga mkono ufukura.
Sipendi ufukara basi tu niko nchi ya kifukara hakuna namna
Mi niliagiza wali kuku bila kuuliza bei jirani yangu akaagiza ugali dagaa wakati wa kulipia yule wa ugali dagaa akauliza shingapi akajibiwa 9500 ilibidi mi nilieagiza kuku nizimie kwanza nilijua wakinikosakosa sana bill inakuja elfu 50
πππ, mkuu si dagaa hizi hizi au kuna dagaa nyingine toleo jipya ???ugali dagaa akauliza shingapi akajibiwa 9500
Ulitaka serikali ipange bei ya chakula?Halafu mpige kelele tena kwamba ni ya kidikteta?Supply and demand ndio inaamua bei ya bidhaa.Uchumi wa kupangiana bei sio mzuri.Bei ni mapatano ya muuzaji na muuziwa.Ukiona haikufai acha.Muuzaji atateremsha bei kwa sababu ya demand ndogo.
Tule tu mkuu, maisha mafupi hayaπNikisafiri nisipokula njian naona kama safari haijakamilika, napenda tu sio ulaku