Madereva wa subaru, IST, Alteza Na Cown sikieni

😃😃😄😁😆😅🤣🤣😂😂😂😆😁😄😄😃😃
 
Halafu hao utakuta gari Zina Bomba mbili za exhaust,Sasa anaona Raha kusikia zile kelele,zinampa jeuri ya kuendelea ligi barabarani🏃🏃🏃🏃🏃👨🏾‍🦯🤸
 
Halafu hao utakuta gari Zina Bomba mbili za exhaust,Sasa anaona Raha kusikia zile kelele,zinampa jeuri ya kuendelea ligi barabarani[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji1522]‍🦯[emoji1732]
[emoji3][emoji3][emoji3]
 
 
Mie sina hizo gari hapo ila gari yangu huwa siendeshi kama convoy ya harusi na nachukia ukae mbele yangu uendeshe kama soccer mom!

Nikipata upenyo lazma nikuchane kwa ukali tu.

Kuna raia wanasongesha gari kama maderee wa Uber, wanakanyaga breki kila muda...

Hao ni kuwapita na kuwaacha wakiendelea jikongoja...
 
Mkuu usiwakumbushe,waendelee kufa nasi tuendelee kurithi mademu wao,na kazi ofkoz.
 

Hao wote siku waje wajitumbukize kwenye ligi ya mtu mwenye hiki kigari.



Nadhani watakuja wasimulie kitakachowapata.
 
Daah...
Ujumbe mzuri..

Lakini kupitwa na passo ya piston 3 iliyoibiwa masega (catalytic converter), hii ni dharau..[emoji2960][emoji2960][emoji85][emoji85]

Hapo hata mimi huwa nakaza, nampita, halafu namwacha aende zake..
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]mpaka unajua kameibiwa masega? Kweli hutaki dharau
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]mpaka unajua kameibiwa masega? Kweli hutaki dharau
Iliyoibiwa masega, akikanyaga mafuta RPM ikafika 3 na kuendelea, unajua kabisa..
Inaliaa mlio flani kama exhaust iliyotoboka.[emoji1]
 
Binafsi siwezi kuacha ligi, labda hao wenzangu wataelewa na kuacha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…