Madereva wa subaru, IST, Alteza Na Cown sikieni

Wanaosukuma IST wamezidi aisee, yani sijui shida ni nini.
 
Unakuta mwanaume anaendesha gari kama mtoto wa kike breki za kiboya boya kila mahali yani!

Nafasi ipo wazi badala atembee anapaka paka hina. Taa zimeruhusu anachati chati kiboya yani.

Ukimfata unaeza mbusu taconi akakuletea jam tu ya kijinga.
Kuna wanakera yan mtu anadrive km kabanwa haga kubwa bhana[emoji23][emoji23]
 
Unakuta mwanaume anaendesha gari kama mtoto wa kike breki za kiboya boya kila mahali yani!

Nafasi ipo wazi badala atembee anapaka paka hina. Taa zimeruhusu anachati chati kiboya yani.

Ukimfata unaeza mbusu taconi akakuletea jam tu ya kijinga.
Wale wenye kushika shika breki kila wakati huwa wanaboa sana

Ukimbusu matakoni ndo stahiki yake
 
Aliyekuunganishia ni yupi? Wa subaru, IST, alteza, crow au wote? Ungemsema aliyekuunganishia tu ingetosha, hao wengine umewaonea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…