Madereva wa subaru, IST, Alteza Na Cown sikieni

Hawa watu wanasumbua sana road madereva wa subaru, crown, alteza, bmw sedan yani wanapenda sana kuovertake na kuendesha kwa fujo.

Kuna gari ukiendesha automatically unakua na akili kama za bodaboda
Ila kwa safari ya zaidi ya kilometre 300 na kuendelea inayohitaji ujuzi wa kucheza na Mabasi na Malori ya masafa huwa wanapigwa hata na mtu wa Toyota Corolla XE ya 1995
 
aah,Mimi Nina vitz,hata crown ikunipita natulia,namvizia na Mimi nimuonje kidogo,Sasa balaa lake nikisha mpita dah,utafikiri tupo kwenye need for speed game[emoji17]
 
Asavali hukututaja sisi wa RAUM; ila kiukweli huwa sifurahi ku-drive nyuma ya mtu.


JESUS IS LORD
 
Kwa BMW huwa nashauri watu waanze kununua zenye engine ya B58 na S58 kama uwezo upo.

Makosa yote ya N series engines yamezalisha B series na S series.

Sent using Jamii Forums mobile app

N series zenye shida sana ni N53 na N54 ndo wonder hata hazijalast Longer.

N55 ni good engine. No wonder inazalisha toka 2009 mpaka leo hajaidiscontinue....

N52 pia ilikuwa nzuri sana japo power haikuwa kubwa kama ilivyo N55.

Hizo zote nimetaja hapo ni N series za 6 cylinder tena na petrol.

Tukija kwa N series za petrol za 4 cylinder kuanzia N42, N45, N46 mpaka kuja N20 bado siyo reliable sana.
 
Mkuu, mtu asiye na hela ni mtu gani


YESU NI BWANA
Ni mtu anaeendesha IST, halafu akiona RAUM mbele yake anaanza kutimua mambio kutaka kuiovateki. Akisha iovateki anasikia raaaha anajiona na yeye anamiliki "mashine". Tena anaenda kuhadithia kabisa "nimemkata jamaa kama amesimama, hajaniona tena..." 🤣🤣
 
MMimi
Hahaa Mkuu hao jamaa huwa hawataki uwapite, ukimpita tu anakuungia ili aje akupite, kumpita maana yake anaona umemdharau, kumbe kila mtu na ratiba zake[emoji3]
Mimi nikikupita ukaniungia jiandae kupeleka gari gereji au wewe mwenyewe kupelekwa gereji. Au ndugu zako wataiuza skrepa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…