Madereva wa subaru, IST, Alteza Na Cown sikieni

Hivi kwa mfano ist hv ni nini kinawapa kibri au mie sielewi au ni kubwa Sana kwa ndani au inatwin turbo au zinaengine ya Maserati Kuna mmoja alituovertake anafukuzana na Ford ranger
 
Hivi kwa mfano ist hv ni nini kinawapa kibri au mie sielewi au ni kubwa Sana kwa ndani au inatwin turbo au zinaengine ya Maserati Kuna mmoja alituovertake anafukuzana na Ford ranger
Hahahahaha
 
Unakuta mwanaume anaendesha gari kama mtoto wa kike breki za kiboya boya kila mahali yani!

Nafasi ipo wazi badala atembee anapaka paka hina. Taa zimeruhusu anachati chati kiboya yani.

Ukimfata unaeza mbusu taconi akakuletea jam tu ya kijinga.
Njoo Zenji uone madereva wazembe, Barabara ya kupita gari mbili basi anakaa katikati ya barabara halafu pia hakupishi.
 
Daah...
Ujumbe mzuri..

Lakini kupitwa na passo ya piston 3 iliyoibiwa masega (catalytic converter), hii ni dharau..[emoji2960][emoji2960][emoji85][emoji85]

Hapo hata mimi huwa nakaza, nampita, halafu namwacha aende zake..
Hivi hapa mjini kuna gari ambayo haijawahi kuibiwa masega kweli πŸ˜‚
 
Mie sina hizo gari hapo ila gari yangu huwa siendeshi kama convoy ya harusi na nachukia ukae mbele yangu uendeshe kama soccer mom!

Nikipata upenyo lazma nikuchane kwa ukali tu.
Chief ulishindwa kusema una premio πŸ˜€πŸ˜€
 
Najua hupendi forester kwasababu ya ile driver's seat
Ila hakuna gari mid SUV affordable na inayokupa vtu vingi zaidi ya forester..
Good design
Stability
Comfortability
Spacious
Kama kuna gari nyingine ntajie nzuri zaidi ya hyo
Hahahah kweli mzee gari ambayo inakupa manjonjo kama forester ni Crown kwa sasa. Ukienda SUV way unachagua Vanguard au Rav 4
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…