Kuna benz nmeona iko ka iyo inatangazwa facebook yenywe n benz maybach bei yake $127000 sjui almost 200m za tz asee nomaa izo dinga[emoji5] [emoji5]umenena mkuuu pesa ndo tatizo...huyu hapa ni mmoja waoView attachment 344168
Pollo nazifahmu zile hata take off control yake ipo tofauti na sub,Wewe umekariri. hio vesrossa sio kama ulizozoea kuna mitaani, usifikiri wataipa 280bhp then waache suspension na control arm za verossa ya kawaida, lazima warekebishe handling. Unafikiri zile vw polo zinazoitoa kamasi imprezza ni kama hizi zenu za befoward?!!
Mkuu forester naifahamu sana cyo gari ya kuingia nayo kwenye kila race kwani hata kwenye rally huwa hatuzitumii hizo tunazijuwa mm nazungumzia kizazi cha sub gc8 and above gda,b12,na nyinginezoasante kunisaidia kumwambia naona alidhan ni verosa ya kawaida ndo mana nkaandka verosa vr25 kiukwel sijaona forester za mpaka 2008 ya kuipita hyo verosa labda wrx sti
tunavy uliza gar gan inakimbia huwa tunachukulia kama ma dere wakiwa na akil sawa .ni sawa useme bmw m5 na mark x ipi inasepa useme inategemea na dere hapo c hakiKweli nilijua ni hizi za kawaida ila nimeenda iona nikakuta ni kifaa
Hapo dereva ndio mshindi maana gari yaweza kuwa nzuri ila dereva mwoga
Wewe ndiye yule mdada anaycheulisha ilesubaru ya blue hapa chuga?Sasa lini tunaenda kuendesha.........?.....nyie woooooote hapa wenye Subaru.......tunaomba tuwaalike (ambao hampo Chugga) mechi ya kirafiki na Subaru Kaskazini.......ili tudumishe uJF wetu........
Nimeiona vr25 kw 206 yaani inafika hp 276 na hata gear ratio iko vizuri hili linaonekana ni muscle kweliasante kunisaidia kumwambia naona alidhan ni verosa ya kawaida ndo mana nkaandka verosa vr25 kiukwel sijaona forester za mpaka 2008 ya kuipita hyo verosa labda wrx sti
Mkuu unazungumzia subaru ama altezza?Hizi Subaru,muffler kelele nyingi lakini iko hapohapo-labda mimi kipofu-eti zinaenda speed???
Wenye izo gari wanaelewa kwamba ukii'mistreat mjerumani ikawasha taa ya check engine, kuifanyia diagnosis mpaka uizime io budget ya gari nyingine so lazima uwe mpole na izo gariKuna gari ukiendesha tu unakuwa na akili...ushaona wapi Mercedes S class inafurumushwa hovyo?!
Tena uku arusha kuna kitu znafungwa ukiwa speed ukishika brake znacheua kama gesi ivi sjui inaitwaje apo machalii wanapenda sana....
Eti, siju kwanimi yaani!Hizi gari wakiendesha wadada zinakosa mzuka kabisa.
kuna subaru la blue hapa chuga lina mataa la blue li zur kwel nalionaga town kumbe jamaa anakaa mtaa wangu kabsa
Kumbe hii ndiyo subaru
That should not explain the insanity.. Waende highway wakakimbizane huko. Sio mtaani ambako Kuna watoto.umewai kuendesha Subaru? kama ujawai tulia ukiwaona wapishi wapite.
Mi nna toyo tu man bado sjakamata io mashine [emoji4] [emoji4]Haha samyz wewe unayo aina gani.?