Madereva wa Subaru Mna Matatizo Gani?

Madereva wa Subaru Mna Matatizo Gani?

Wewe umekariri. hio vesrossa sio kama ulizozoea kuna mitaani, usifikiri wataipa 280bhp then waache suspension na control arm za verossa ya kawaida, lazima warekebishe handling. Unafikiri zile vw polo zinazoitoa kamasi imprezza ni kama hizi zenu za befoward?!!
Pollo nazifahmu zile hata take off control yake ipo tofauti na sub,
 
asante kunisaidia kumwambia naona alidhan ni verosa ya kawaida ndo mana nkaandka verosa vr25 kiukwel sijaona forester za mpaka 2008 ya kuipita hyo verosa labda wrx sti
 
Watu Bana tuwe realistic, mtu unatafuta gari kwa ajili ya Rally au kwa ajili ya kurahisisha mizinguko yako, watu wanapenda ligi zisizo maana yeyote. Hayo ma Horse power yote mtu unayotumia barabara zipi hapa Tanzania, au just the use of incorrect machine at the wrong place and wrong time, tubadilike,
 
asante kunisaidia kumwambia naona alidhan ni verosa ya kawaida ndo mana nkaandka verosa vr25 kiukwel sijaona forester za mpaka 2008 ya kuipita hyo verosa labda wrx sti
Mkuu forester naifahamu sana cyo gari ya kuingia nayo kwenye kila race kwani hata kwenye rally huwa hatuzitumii hizo tunazijuwa mm nazungumzia kizazi cha sub gc8 and above gda,b12,na nyinginezo
 
Nilipanda subaru wakati wa sherehe ya komuniyo ya kwanza....mzuka ukanipanda leo hii namiliki forester ukinipita tu lazima nikupite ...CONFIDENCE IN MOTION.
 
Kweli nilijua ni hizi za kawaida ila nimeenda iona nikakuta ni kifaa
Hapo dereva ndio mshindi maana gari yaweza kuwa nzuri ila dereva mwoga
tunavy uliza gar gan inakimbia huwa tunachukulia kama ma dere wakiwa na akil sawa .ni sawa useme bmw m5 na mark x ipi inasepa useme inategemea na dere hapo c haki
 
Sasa lini tunaenda kuendesha.........?.....nyie woooooote hapa wenye Subaru.......tunaomba tuwaalike (ambao hampo Chugga) mechi ya kirafiki na Subaru Kaskazini.......ili tudumishe uJF wetu........
Wewe ndiye yule mdada anaycheulisha ilesubaru ya blue hapa chuga?
 
kuna subaru la blue hapa chuga lina mataa la blue li zur kwel nalionaga town kumbe jamaa anakaa mtaa wangu kabsa
 
asante kunisaidia kumwambia naona alidhan ni verosa ya kawaida ndo mana nkaandka verosa vr25 kiukwel sijaona forester za mpaka 2008 ya kuipita hyo verosa labda wrx sti
Nimeiona vr25 kw 206 yaani inafika hp 276 na hata gear ratio iko vizuri hili linaonekana ni muscle kweli
 
verosa nilikuwa czpend lkn pind nikiwa cngda nilikuwa matembezin by ngoko ndipo nilipockia mlio mkubwa kama ndege jet c jet nadhan ni tair zilivykuwa zmeshka lami , mbele yangu kulikuwa na wamama na hao walismama kuangalia ni gar gan inakuja , ebu fikiria wamama/wasichna hawana hobby na magr lkn walismama kuangalia kwa spid iliokuwa nayo ilikuwa stable xna jinsi ilivy lala na kona mpaka imenifikia ndo nkajua ni verosa kwa bahat nzur alivynpita nkaona taa nyekundu zkwaka means kashka brake ndo nkahama na upande ili nimuulze jamaa maswal .nikamuulza kabla ya kale kakona ulikuwa na spid ngap akajib 190 huku akiendelea kuchek tair zake,jamaa alikuwa na lafudh ya kicongo kuchek gar ndo nkaona imeandikwa vr25 na hata plate no hazkuwa za huku kwanzia hapo nkaikubal xna ckuwah ona gar ikiwa na zaid ya 180 zaid ya hyo verosa
 
Kuna gari ukiendesha tu unakuwa na akili...ushaona wapi Mercedes S class inafurumushwa hovyo?!
Wenye izo gari wanaelewa kwamba ukii'mistreat mjerumani ikawasha taa ya check engine, kuifanyia diagnosis mpaka uizime io budget ya gari nyingine so lazima uwe mpole na izo gari
 
That should not explain the insanity.. Waende highway wakakimbizane huko. Sio mtaani ambako Kuna watoto.
Majibu kama ya huyo jamaa ndio yanakuonesha waendesha subaru wana mentality gani.
 
Back
Top Bottom