Kule Kwetu
JF-Expert Member
- Jan 10, 2016
- 3,157
- 1,894
Mkuu ni hizi porsche dizain kama Volkswagen kubwa four doors acha zile sports. Niliona kwenye showroom na mitaa ya Nairobi. Vipi bei zake, speed na consumption coz sijaziona kbs Bongoland.Unataka ujue porsche ipi sasa?
Mkuu ni hizi porsche dizain kama Volkswagen kubwa four doors acha zile sports. Niliona kwenye showroom na mitaa ya Nairobi. Vipi bei zake, speed na consumption coz sijaziona kbs Bongoland.
Hizo sinaga mizuka nazo kabisa hizo SUV ila Be-forward zipo, pia kujua fuel consumption cheki website ya auto-data.netMkuu ni hizi porsche dizain kama Volkswagen kubwa four doors acha zile sports. Niliona kwenye showroom na mitaa ya Nairobi. Vipi bei zake, speed na consumption coz sijaziona kbs Bongoland.
Kinaitwa Blow off Valve (BOV)Tena uku arusha kuna kitu znafungwa ukiwa speed ukishika brake znacheua kama gesi ivi sjui inaitwaje apo machalii wanapenda sana....
Kumbee asante kwa kunifungua na gharama zake zikoje mkuuKinaitwa Blow off Valve (BOV)
Mkuu ni hizi porsche dizain kama Volkswagen kubwa four doors acha zile sports. Niliona kwenye showroom na mitaa ya Nairobi. Vipi bei zake, speed na consumption coz sijaziona kbs Bongoland.
ShukranBongo zipo ila chache kimtindo.
Mafuta zinakunywa ndio kwasababu engine zake zote ni kubwa sana.
Madereva wengi tu wa VX V8 wenyewe wanajua shughuli ya Subaru barabarani huko. Subaru is more than a car, huwezi fananisha boxer engine na inline engines.Usiongee tu imradi umeongea
Wewe na fuso lako sijui volvo hata noah inakupita
Kumbuka hizo subaru zina hp hadi 300+ na zikifanyiwa mapping huwezi hata kuisogelea, hata wenye vx nao watapata taabu
Labda dereva awe na hela za njaa na ni mwoga tofati na hapo huwezi kamwe ishinda subaru wrx sti.
mkuu vip kuhusu mitsubishi evo 9Madereva wengi tu wa VX V8 wenyewe wanajua shughuli ya Subaru barabarani huko. Subaru is more than a car, huwezi fananisha boxer engine na inline engines.
Halafu jamaa wanasema eti gari za teenager... hahahaha! bado hujagusa hapo Subaru Forester 2015Nimeipenda forester sti
2.5lt
Gear 6 manual
Bei yake tu ndo mauaji
Bei ya kununulia ni 11,000$
Tsh 24,000,000
Kodi 9,600,000
Jumla 33,600,000
Mil 34 zahitajika hapo
Bado hapo hujaweka chochote kile
Evo ipo vizuri sana! tatizo la mitsubishi wametengeneza gari nzuri ya sports (sedan) lakani ukurudi kwenye gari za kutumia kawaida SUV for instance hawana gari nzuri. huwezi zikuta mtaani watu wanazo mitsubishi zinafanya vizuri. ni kwenye mashindano tu.v
mkuu vip kuhusu mitsubishi evo 9
Subaru yoyote hainusi kwa Mitsubishi Evo X kwenye speed labla roho mtakatifu ashuke!v
mkuu vip kuhusu mitsubishi evo 9
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahaha ungejua huyo mtoa Mada unayemueleza hio Habari ni mmoja wa wataalam wa magari humu jf, usiengeendelea kupoteza muda wako
Ana dump valveKinaitwa Blow off Valve (BOV)