Madereva wa Subaru Mna Matatizo Gani?

Madereva wa Subaru Mna Matatizo Gani?

Unataka ujue porsche ipi sasa?
Mkuu ni hizi porsche dizain kama Volkswagen kubwa four doors acha zile sports. Niliona kwenye showroom na mitaa ya Nairobi. Vipi bei zake, speed na consumption coz sijaziona kbs Bongoland.
 
Watu wana Range Rover... ma Landcruiser V8 ni wastaarabu, hawana vurugu ila we na Subaru tu inakuwa shida mtaani
 
Mkuu ni hizi porsche dizain kama Volkswagen kubwa four doors acha zile sports. Niliona kwenye showroom na mitaa ya Nairobi. Vipi bei zake, speed na consumption coz sijaziona kbs Bongoland.
 
Mkuu ni hizi porsche dizain kama Volkswagen kubwa four doors acha zile sports. Niliona kwenye showroom na mitaa ya Nairobi. Vipi bei zake, speed na consumption coz sijaziona kbs Bongoland.
Hizo sinaga mizuka nazo kabisa hizo SUV ila Be-forward zipo, pia kujua fuel consumption cheki website ya auto-data.net
 
Mkuu ni hizi porsche dizain kama Volkswagen kubwa four doors acha zile sports. Niliona kwenye showroom na mitaa ya Nairobi. Vipi bei zake, speed na consumption coz sijaziona kbs Bongoland.

Bongo zipo ila chache kimtindo.

Mafuta zinakunywa ndio kwasababu engine zake zote ni kubwa sana.
 
Usiongee tu imradi umeongea
Wewe na fuso lako sijui volvo hata noah inakupita
Kumbuka hizo subaru zina hp hadi 300+ na zikifanyiwa mapping huwezi hata kuisogelea, hata wenye vx nao watapata taabu
Labda dereva awe na hela za njaa na ni mwoga tofati na hapo huwezi kamwe ishinda subaru wrx sti.
Madereva wengi tu wa VX V8 wenyewe wanajua shughuli ya Subaru barabarani huko. Subaru is more than a car, huwezi fananisha boxer engine na inline engines.
 
Nimeipenda forester sti
2.5lt
Gear 6 manual
Bei yake tu ndo mauaji
Bei ya kununulia ni 11,000$
Tsh 24,000,000
Kodi 9,600,000
Jumla 33,600,000
Mil 34 zahitajika hapo
Bado hapo hujaweka chochote kile
Halafu jamaa wanasema eti gari za teenager... hahahaha! bado hujagusa hapo Subaru Forester 2015
 
v

mkuu vip kuhusu mitsubishi evo 9
Evo ipo vizuri sana! tatizo la mitsubishi wametengeneza gari nzuri ya sports (sedan) lakani ukurudi kwenye gari za kutumia kawaida SUV for instance hawana gari nzuri. huwezi zikuta mtaani watu wanazo mitsubishi zinafanya vizuri. ni kwenye mashindano tu.
 
Hawana jipya ni mchecheto tu wanapojiona mngurumo ni tofauti na nyingine.Ahsante kwa kuwakumbusha juu ya uhai wao vinginevyo mwenye midadi nayo atakuwa kwenye takwimu za vifo za mzee Mpinga mwezi ujao wa wiki ya usalama brbrn.
 
Back
Top Bottom