Madereva wa Subaru Mna Matatizo Gani?

Madereva wa Subaru Mna Matatizo Gani?

hyo evo 10 ni ya kueka ligi na wrx sti , forester haifik kwa evo ten
 
Unajua hawa madogo hawajawahi kutembelea MOI kule MNH....kwahio hawajui madhara ya ajali ngoja mmoja wao subaru imvunje mgongo atakumbuka hii thread! Tushawazika wengi tu, na wamesababisha vifo vingi tu kwa ukubwajinga wao.
Mbona zinawafanya HAMNA sana, kule Arusha zinawasokotaga haswa at least sasa hivi wanapata adabu kidogo but 1st time zilikuwa zinawasokota haswa.

Nakumbuka kuna vijana fulani walienda kuangalia motor rally kule Arusha airport baadae nao wakajifanya wanaenda mwendo wa rally, hiyo Subaru iliwasokota mmoja akafa hapohapo na it was new Subaru with chassis no.
 
9441be424dbb287c8dff52c9b33aa055.jpg
Kwenye WRC Subaru bado nzito sana, performance yake bado sijaiona
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] dooh bongo tuna safar ndefu ila ndo hvyo third world country kwahyo 320hp car isn't bad for a day drag race.

Ila kuna gar za maana za kufanyia hyo michezo tatizo pesa.

Kuna bmw m3 ya 2012 bhp ni kama 429 kuna bmw m5 pia 4.4 litre v8 biturbo ina zaid ya bhp 500 na nm of torque zaid ya 500 pia.

Kuna mercedes benz amg c63 ina cc zaidi ya 6000 humu pia napo ni balaa tupu a sedan car with horse power and torque more than a truck car.

Kuna mnyama anaitwa nissan gtr godzilla, namo huku ndo hatari tupu ina 600 horsepower and 481 pound-ft of torque

Hizi gari zenye 320hp bado sana, ila sio mbaayaaa sana kwa hali ya nchi yetu.
 
Mbona zinawafanya HAMNA sana, kule Arusha zinawasokotaga haswa at least sasa hivi wanapata adabu kidogo but 1st time zilikuwa zinawasokota haswa.

Nakumbuka kuna vijana fulani walienda kuangalia motor rally kule Arusha airport baadae nao wakajifanya wanaenda mwendo wa rally, hiyo Subaru iliwasokota mmoja akafa hapohapo na it was new Subaru with chassis no.
Wenyewe humu watakwambia wako smart wakati tunashuhudia mizinga yao. Ila zikiwasokota wenyewe poa tu ila wakiua wasiohusika sio sawa.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] dooh bongo tuna safar ndefu ila ndo hvyo third world country kwahyo 320hp car isn't bad for a day drag race.

Ila kuna gar za maana za kufanyia hyo michezo tatizo pesa.

Kuna bmw m3 ya 2012 bhp ni kama 429 kuna bmw m5 pia 4.4 litre v8 biturbo ina zaid ya bhp 500 na nm of torque zaid ya 500 pia.

Kuna mercedes benz amg c63 ina cc zaidi ya 6000 humu pia napo ni balaa tupu a sedan car with horse power and torque more than a truck car.

Kuna mnyama anaitwa nissan gtr godzilla, namo huku ndo hatari tupu ina 600 horsepower and 481 pound-ft of torque

Hizi gari zenye 320hp bado sana, ila sio mbaayaaa sana kwa hali ya nchi yetu.
Ndio maana wale waliokuwa wananiambia eti kwasababu sijaendesha subaru nilikuwa nawajibu 'i've pushed faster and powerful beasts than that thing'
 
Wapo Arusha utawakuta wanakimbia from Arusha to Namanga, Alteza vs Subaru team, wana matatizo sana hawa watoto
Afadhali wangekuwa watoto, wengine watu wazima kabisa.
 
Mbona zinawafanya HAMNA sana, kule Arusha zinawasokotaga haswa at least sasa hivi wanapata adabu kidogo but 1st time zilikuwa zinawasokota haswa.

Nakumbuka kuna vijana fulani walienda kuangalia motor rally kule Arusha airport baadae nao wakajifanya wanaenda mwendo wa rally, hiyo Subaru iliwasokota mmoja akafa hapohapo na it was new Subaru with chassis no.

Rest in peace babuu wa jaza moto!! Must sa hivi anapush evo
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] dooh bongo tuna safar ndefu ila ndo hvyo third world country kwahyo 320hp car isn't bad for a day drag race.

Ila kuna gar za maana za kufanyia hyo michezo tatizo pesa.

Kuna bmw m3 ya 2012 bhp ni kama 429 kuna bmw m5 pia 4.4 litre v8 biturbo ina zaid ya bhp 500 na nm of torque zaid ya 500 pia.

Kuna mercedes benz amg c63 ina cc zaidi ya 6000 humu pia napo ni balaa tupu a sedan car with horse power and torque more than a truck car.

Kuna mnyama anaitwa nissan gtr godzilla, namo huku ndo hatari tupu ina 600 horsepower and 481 pound-ft of torque

Hizi gari zenye 320hp bado sana, ila sio mbaayaaa sana kwa hali ya nchi yetu.
Hali ya inchi mkuu c unaijuwa ile ford mustang the boss yenye hp 540 twin turb ni nuks
 
Mkuu WRC ni moto kule kuna pollo zile ni nuks na vitu vya France Citroen ,ila pollo naikubali sana handling yake ni mzuri sana ,rahisi kuifanyia side way ina nguvu na hata hand brake inapenya unavyotaka
 
me nilikuwa nasemaga wadereva wa boda boda wamelogwa na piki piki zenyew zimefanyiwa uchaw chna zije zituue tu maana haiwezekan kila anaeshka anakuwa mwehu, cku moja nkaomba bhna na mm nkapita bara bara ya vumbi sema imechongwa fresh imekua lami asee ni hatar nilikuwa cwez endesha taratibu nimeweka no nne nkafika 80kph sa ngap ng'ombe wazikatize rodin!! yan kilichosaidia ng'ombe walijiongeza wakawa kama wanakimbizana hvo nilivofika pale wakawa wako pemben ndo pona yangu sa hyo hyo nkarudisha pik pik ya watu
 
Back
Top Bottom