Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona zinawafanya HAMNA sana, kule Arusha zinawasokotaga haswa at least sasa hivi wanapata adabu kidogo but 1st time zilikuwa zinawasokota haswa.Unajua hawa madogo hawajawahi kutembelea MOI kule MNH....kwahio hawajui madhara ya ajali ngoja mmoja wao subaru imvunje mgongo atakumbuka hii thread! Tushawazika wengi tu, na wamesababisha vifo vingi tu kwa ukubwajinga wao.
Wapo Arusha utawakuta wanakimbia from Arusha to Namanga, Alteza vs Subaru team, wana matatizo sana hawa watotoMbwembwe za mjini tu highways(?)za mkoani hamna kitu ni waoga wamepitiliza
Umesahau kuweka daladalaMadereva wa Subaru Forester na Impreza,Altezza, Cellica na boda boda wote ni akili moja kama wamezaliwa familia moja.
Kwenye WRC Subaru bado nzito sana, performance yake bado sijaiona
Wenyewe humu watakwambia wako smart wakati tunashuhudia mizinga yao. Ila zikiwasokota wenyewe poa tu ila wakiua wasiohusika sio sawa.Mbona zinawafanya HAMNA sana, kule Arusha zinawasokotaga haswa at least sasa hivi wanapata adabu kidogo but 1st time zilikuwa zinawasokota haswa.
Nakumbuka kuna vijana fulani walienda kuangalia motor rally kule Arusha airport baadae nao wakajifanya wanaenda mwendo wa rally, hiyo Subaru iliwasokota mmoja akafa hapohapo na it was new Subaru with chassis no.
Ndio maana wale waliokuwa wananiambia eti kwasababu sijaendesha subaru nilikuwa nawajibu 'i've pushed faster and powerful beasts than that thing'[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] dooh bongo tuna safar ndefu ila ndo hvyo third world country kwahyo 320hp car isn't bad for a day drag race.
Ila kuna gar za maana za kufanyia hyo michezo tatizo pesa.
Kuna bmw m3 ya 2012 bhp ni kama 429 kuna bmw m5 pia 4.4 litre v8 biturbo ina zaid ya bhp 500 na nm of torque zaid ya 500 pia.
Kuna mercedes benz amg c63 ina cc zaidi ya 6000 humu pia napo ni balaa tupu a sedan car with horse power and torque more than a truck car.
Kuna mnyama anaitwa nissan gtr godzilla, namo huku ndo hatari tupu ina 600 horsepower and 481 pound-ft of torque
Hizi gari zenye 320hp bado sana, ila sio mbaayaaa sana kwa hali ya nchi yetu.
Watajulia wapi hawa....kuanzia mwaka 2000 mpaka leo Subaru imeshinda mara mbili tu...inakimbizwa na Peugeot,Citroen, VW Polo.Kwenye WRC Subaru bado nzito sana, performance yake bado sijaiona
hyo forester mil 34 mpya au used kdogo
Mbona zinawafanya HAMNA sana, kule Arusha zinawasokotaga haswa at least sasa hivi wanapata adabu kidogo but 1st time zilikuwa zinawasokota haswa.
Nakumbuka kuna vijana fulani walienda kuangalia motor rally kule Arusha airport baadae nao wakajifanya wanaenda mwendo wa rally, hiyo Subaru iliwasokota mmoja akafa hapohapo na it was new Subaru with chassis no.
Forester ni gari ya Rally? SMHSasa lile gari la rally mkuu, lazma liendeshwe ki'rally rally
Njoo bagamoyo kuna rally mwezi huu may tarehe 21-22 uone BVR au EVO killer inavyo toa dose, karibu sana uone tunavyo pushhyo evo 10 ni ya kueka ligi na wrx sti , forester haifik kwa evo ten
Hali ya inchi mkuu c unaijuwa ile ford mustang the boss yenye hp 540 twin turb ni nuks[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] dooh bongo tuna safar ndefu ila ndo hvyo third world country kwahyo 320hp car isn't bad for a day drag race.
Ila kuna gar za maana za kufanyia hyo michezo tatizo pesa.
Kuna bmw m3 ya 2012 bhp ni kama 429 kuna bmw m5 pia 4.4 litre v8 biturbo ina zaid ya bhp 500 na nm of torque zaid ya 500 pia.
Kuna mercedes benz amg c63 ina cc zaidi ya 6000 humu pia napo ni balaa tupu a sedan car with horse power and torque more than a truck car.
Kuna mnyama anaitwa nissan gtr godzilla, namo huku ndo hatari tupu ina 600 horsepower and 481 pound-ft of torque
Hizi gari zenye 320hp bado sana, ila sio mbaayaaa sana kwa hali ya nchi yetu.
Mkuu WRC ni moto kule kuna pollo zile ni nuks na vitu vya France Citroen ,ila pollo naikubali sana handling yake ni mzuri sana ,rahisi kuifanyia side way ina nguvu na hata hand brake inapenya unavyotakaWatajulia wapi hawa....kuanzia mwaka 2000 mpaka leo Subaru imeshinda mara mbili tu...inakimbizwa na Peugeot,Citroen, VW Polo.
2000
Finland Marcus Grönholm Peugeot 206 WRC 4 7 65 5![]()
2001United Kingdom Richard Burns Subaru Impreza WRC 2001 1 6 44 2![]()
2002Finland Marcus Grönholm Peugeot 206 WRC 5 9 77 40![]()
2003Norway Petter Solberg Subaru Impreza WRC 2003 4 7 72 1![]()
2004France Sébastien Loeb Citroën Xsara WRC 6 12 118 36![]()
2005France Sébastien Loeb Citroën Xsara WRC 10 13 127 56![]()
2006France Sébastien Loeb Citroën Xsara WRC 8 12 112 1![]()
2007France Sébastien Loeb Citroën C4 WRC 8 13 116 4![]()
2008France Sébastien Loeb Citroën C4 WRC 11 13 122 19![]()
2009France Sébastien Loeb Citroën C4 WRC 7 9 93 1![]()
2010France Sébastien Loeb Citroën C4 WRC 8 13 276 105![]()
2011France Sébastien Loeb Citroën DS3 WRC 5 9 222 8![]()
2012France Sébastien Loeb Citroën DS3 WRC 9 10 270 57![]()
2013France Sébastien Ogier Volkswagen Polo R WRC 9 11 290 114![]()
2014France Sébastien Ogier Volkswagen Polo R WRC 8 10 267 49![]()
2015France Sébastien Ogier Volkswagen Polo R WRC 8 10 263 80![]()
C uliona mkuu ile BVR nuks ya mwaka 2015Vaikash rally iliyofanyika KIA pasaka team Subaru ilizigaragaza vibaya mno team mistubishi