Madereva wengine nane wa Tanzania wazuiwa kuingia Kenya baada ya kugunduliwa kuwa na Corona


Kiongozi wenu kajificha chato, anawaambia chapa kazi
 
Nakukubali Sana MK254, nakukaribisha Tanzania 🇹🇿 uje ugombee Urais. Aliyekalia kiti katuacha kwenye mataa🚦🚦🚦🚦🚦🚦🚦

Hehehe!! Huko mnalo, tena miaka ijayo mitano halafu hapo haujahesabu kumi ya Bashite da prince maana nionavyo yeye ndiye mwenye ubavu wa kuchukua baada ya mkulu wa sasa kukamilisha hatamu yake.

Upinzani wenyewe ndio kama hivyo, mshavurugana na kusambaratika. Hehehe! Huwa mara moja moja napitia video za Musiba, jamaa sasa hivi anachekelea sana upinzani walivyopoteana.

Lakini Tz nahisi mkimpa yule huwa mnamuita professa wa jalalani mnaweza mkatoka, pamoja na mimate yake huwa naona akiongea pointi sana, yuko freshi amekula vitabu vya historia, sheria na uchumi vizuri. Huwa namfatilia mara moja moja.
 
their lab was closed! just imagine that for a moment....

 
Mkuu, huku Tanzania wengi tuna corona, ila tumechagua kuishi kama Sweden, na hata boss mmoja wa WHO leo amekiri kuwa ndio njia nzuri zaidi.
Bado sana ndugu yangu tusijipe moyo tupo milioni 57 ikifikisha angalau million moja tu Kuna hatari ya kukipata chamoto , yote kwa yote tumwombe Mungu atuepushe na baya lolote kama kweli litakuja mbele yetu maana Italy walikuwa wabishi hivi hivi by January na ilipofika March nadhani kila mtu anajua.
 
Kuna tatizo mahali haiwezekani madereva wote hao kukutwa na maambukizi, serikali ya Tanzania irudie kuwapima.
 
Remember in the whole country they only have 8 technicians that are capable of testing the disease.
Full of shit, first of all the lab is not closed and we are still testing but we don't announce how many positive cases, and the most of all we have thousands of technicians but we only have 8 labs for testing Corona, not other diseases which every hospital have a lab for testing. You Kenyans really wish the worse for us so you can feel better with your shit hole.
 
Kumbe unatoka zenj...sishangai
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bro...Mambo mengine tumwachiage Mungu tumwambie Baba hili hatuwezi...Mungu anasikia.Hakuna dhambi kumwambia Mungu kwamba huku kwetu Africa hatuna kimbilio Ila ni wewe Baba....kujilinganisha na Sweden au Somalia, au nchi yoyote haitusaidii....Kama kuchukua tahadhar watu wameshachukua Sana but wapi...bilabila....Tumlilie Mungu atuponye.Lockdown, takwimu data, haieaidii kitu...hata ukiambiwa leo Tanzania wamekufa 190009999000....itakusaidia nini? Acha niende zangu kwenye mkesha kanisani kwetu
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hebu list hizo 8 labs na utuambie ni ipi iliofungwa ili kukagua mashine.
 
Kuna tatizo mahali haiwezekani madereva wote hao kukutwa na maambukizi, serikali ya Tanzania irudie kuwapima
Serikali ya Tz iweke kituo cha kupima madereva Namanga upande wa Tz ili akikutwa anao data zifichwe kama kawaida. Vinginevyo Kenya itaendelea kuwafichua na kuwatangaza wala msilalamike au yote kwa yote mipaka ifungwe watu wakae kwao.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Their doctors are now raising the Alam.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…