Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 57,761
- 216,011
Hata wale waliokimbilia Tanzania enzi za ukombozi wa bara la Afrika wanatuogopa.Tumetisha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata wale waliokimbilia Tanzania enzi za ukombozi wa bara la Afrika wanatuogopa.Tumetisha
Wakati leo madereva wengine nane (8) wa malori wakikutwa na COVID 19 mpakani Namanga wakitokea Tanzania, naibu waziri wa afya Kenya bi Mercy Mwangangi ametoa wito kwa wakenya waishio mpakani na Tanzania kuanzisha ulinzi shirikishi wa nyumba 10 kubaini watakaoingia nchini humo kupitia njia za panya.
Jana kuna video niliona mtanzania akikokotwa na polisi wa Kenya kurudishwa Tanzania huku akiambulia kipigo. Musiende kwa wenzenu hawawataki. Huku nchi yenu ikiwa haifanyi jitihada zinazokubalika kitaalam kuzuia kuenea kwa ugonjwa huu bado mnaonekana nyinyi ni tatizo sugu la kusambaa kwa COVID 19 kwa majirani zenu.
Nakukubali Sana MK254, nakukaribisha Tanzania 🇹🇿 uje ugombee Urais. Aliyekalia kiti katuacha kwenye mataa🚦🚦🚦🚦🚦🚦🚦
Haha balaaWamembana mbavu akakimbia fasta. Alipokea ripoti kimya kimya kumbe aliyepeleka sample alikuwa na Corona [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
their lab was closed! just imagine that for a moment....MK254,
I told joto la jiwe that Tanzania is lucky to have a good neighbor like Kenya. We are doing tests for them in their own land something no African country can't do without the permission of the local authority. They should add those 31 cases to their national tally.
Remember in the whole country they only have 8 technicians that are capable of testing the disease.
Bado sana ndugu yangu tusijipe moyo tupo milioni 57 ikifikisha angalau million moja tu Kuna hatari ya kukipata chamoto , yote kwa yote tumwombe Mungu atuepushe na baya lolote kama kweli litakuja mbele yetu maana Italy walikuwa wabishi hivi hivi by January na ilipofika March nadhani kila mtu anajua.Mkuu, huku Tanzania wengi tuna corona, ila tumechagua kuishi kama Sweden, na hata boss mmoja wa WHO leo amekiri kuwa ndio njia nzuri zaidi.
Full of shit, first of all the lab is not closed and we are still testing but we don't announce how many positive cases, and the most of all we have thousands of technicians but we only have 8 labs for testing Corona, not other diseases which every hospital have a lab for testing. You Kenyans really wish the worse for us so you can feel better with your shit hole.Remember in the whole country they only have 8 technicians that are capable of testing the disease.
Kwa sasa huwezi kuitenganisha Tz na Corona. Corona imeifanya Tanzania kama nyumbani, na Tanzania imeridhika na Corona. Na maisha yanakwenda fresh, kila mtu yuko busy na mambo yake akipambana na hali yake. Kwa sasa hata utamaduni wa kunawa mikono na kuvaa barakoa umeshaanza kupotea kwa kasi na muda sio mrefu huenda ukafutika kabisa Tanzania.
Yote kwa yote, watu wanazidi kuambukizwa kimya kimya, wengine wanadondoka mmoja mmoja bila kutangazwa popote. Siku tukija kushtuka tutakuwa tumechelewa sana.
Hapa Kazi tu!!!
Utawasikia wanakwambia majirani wanatumika na mabeberu ndo maana wafunga mipaka ili tukwame kiuchumi.
Hii kauli huwa naishangaa sana
Hamuwezi mkajilinganisha na Sweden maana wao wanapima na kutoa taarifa, nyie mumejichokea tayari. Kwa sasa Sweden
Vifo 3,256
Waathirika: 26,000
Halafu idadi yao ni 10,090,825 nchi yote, yaani kama mikoa miwili ya Tanzania
Uchumi wao mara kumi ya Tanzania, inawapa jeuri ya kuhakikisha wanajilinda hata wakiachiwa, sasa makajamba wa Manzense na umaskini wao utawaachia waambukizane watamalizana.
Hebu list hizo 8 labs na utuambie ni ipi iliofungwa ili kukagua mashine.Full of shit, first of all the lab is not closed and we are still testing but we don't announce how many positive cases, and the most of all we have thousands of technicians but we only have 8 labs for testing Corona, not other diseases which every hospital have a lab for testing. You Kenyans really wish the worse for us so you can feel better with your shit hole.
Unastahili uwaulize wanafuata nini. Nadhani hata hivyo wanajaribu kuikimbia corona.Sasa mtanzania aende Kenya kufanya nini nchi iliyojaa mabalaa tupu
Sent using Jamii Forums mobile app
Serikali ya Tz iweke kituo cha kupima madereva Namanga upande wa Tz ili akikutwa anao data zifichwe kama kawaida. Vinginevyo Kenya itaendelea kuwafichua na kuwatangaza wala msilalamike au yote kwa yote mipaka ifungwe watu wakae kwao.Kuna tatizo mahali haiwezekani madereva wote hao kukutwa na maambukizi, serikali ya Tanzania irudie kuwapima
get ur shit together!Mjinga ni wewe usiyejua zote zilifungwa.