Labani og
JF-Expert Member
- Sep 15, 2020
- 19,637
- 29,473
Chumvi.... wanyakyusa tupo humble [emoji23][emoji23]Ni kweli Kuna familia baba yao ni myao lakini mke katawala Hadi watoto wakiulizwa Kabila wanasema ni wanyakyusa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Chumvi.... wanyakyusa tupo humble [emoji23][emoji23]Ni kweli Kuna familia baba yao ni myao lakini mke katawala Hadi watoto wakiulizwa Kabila wanasema ni wanyakyusa
Tena anatakiwa awaombe msamaha mashangazi kuwadhalilisha na alipe fainiKabisaa ndiyo nimeshangaa mleta uzi anasema mama ndiye mwenye sauti😃😃 hawajui mashangazi huyu
Ahsante nipe maelezo vzr ujumbe ufike kwenu haraka iwezekanavyo..wkt huo sie tunaendelea na mengine kdg kdgBado mkuu unataka kuoa tuongee? Mahari mbuzi tu hamna bei majirani ni waelewa hawana shida
Na iwe hivyo mama...Huu ukimya hope una mema, maana 🤔🤔🤔🤔🤔
Hii ni kweli..nimeona sehemu jamaa baba ake ni mtu wa morogoro na mama mbeya ila anajiita mnyakyusa na wengi wanajua mnyakyusaNi kweli Kuna familia baba yao ni myao lakini mke katawala Hadi watoto wakiulizwa Kabila wanasema ni wanyakyusa
Mtoto hujitanabaisha na kabila lenye mafanikio na lililomkuza na kumtunzaHii ni kweli..nimeona sehemu jamaa baba ake ni mtu wa morogoro na mama mbeya ila anajiita mnyakyusa na wengi wanajua mnyakyusa
Huyo wanaishi fresh na mshua wake full mahitaji ni wakishua ila ndio hivyo yuko kwa maza zaidiMtoto hujitanabaisha na kabila lenye mafanikio na lililomkuza na kumtunza
Sasa mwanaume anaingiza dude tu akizalisha anatokomea gizani hatoi matunzo anaachia Mama wa Kinyakyusa na mashangazi ndio wanamtunza mtoto
Unataka aitwe kabila la baba yake kwa lipi?
Uanaume sio kutumbukiza dude tu na kuzalisha mtoto na kujitia ohh mimi ndio baba yako.Hata mbwa ana uwezo wa kutumbukiza dude lake na kuzalisha.Hata Ngedere na fisi na kenge hilo waweza
Tofauti ya utumbukizaji dude la kiume kwa jike na kuzalisha tofauti kati ya binadamu na wanyama ni moja tu matunzo Kidume binadamu kinatakiwa kutoa matunzo
Mwanaume akizalisha anatakiwa atunze tofauti na dume ngedere, mbwa, fisi nk
Sasa kidume kimezalisha mtoto kinapiga yowe ooh achukue ajiite kabila lake kwa lipi labda? Kutumbukiza hilo dude lake katikati ya mapaja na kuzalisha tu basi? Kazi ambayo hata mbwa,ngedere,fisi nk waweza? Huyo mtoto ana haki kujiita Mnyakyusa
UongoHuyo wanaishi fresh na mshua wake full mahitaji ni wakishua ila ndio hivyo yuko kwa maza zaidi
Wewe utakuwa mzaramo,ndengereko na mengine yanayofanana na hayo,Mnyaki atakaye olewa na hayo makabila labda kwa mbinu ya kumpachika mimba.Unaoaje mnyakyusa
Sijui imekaaje hii yaani,halafu huyo Mzee anakuwa mnyongemnyongeHii ni kweli..nimeona sehemu jamaa baba ake ni mtu wa morogoro na mama mbeya ila anajiita mnyakyusa na wengi wanajua mnyakyusa
Tena kajipeleka mwenyewe kuposa, hajui hata S.O.P za kuoa. Hakupaswa hata kushiriki hizo conversation za wazazi.Yeye amezaa kabisa.
Hahahaha..inawezekana ila watoto wote wamesoma mbeya na likizo zote ni mbeyaSijui imekaaje hii yaani,halafu huyo Mzee anakuwa mnyongemnyonge
Huyo bibi kwake uislam ni uarabu na utamaduni wake na ndivyo walivyo.Kwani hakuna waislamu wanyakyusa?
Na Mimi hao ni hivyohivyo,Sasa Binti yake alikuwa rafiki yangu akiulizwa we Kabila Gani akisema mnyakyusa naanza kucheka namwambia si useme ukweli,utasikia umeanza ujinga...Ila mama na nduguze wamedominate familia kinomaHahahaha..inawezekana ila watoto wote wamesoma mbeya na likizo zote ni mbeya
Huyo mzee alishakosea toka mwanzoHahahaha..inawezekana ila watoto wote wamesoma mbeya na likizo zote ni mbeya
Dada zenu wakiolewa makabila mengine wanadominate sana,eti wao wajukuu wa malafyale😅Chumvi.... wanyakyusa tupo humble [emoji23][emoji23]
Hawataki ujinga mwanaume ukikaa kizembe umekwishaDada zenu wakiolewa makabila mengine wanadominate sana,eti wao wajukuu wa malafyale[emoji28]
Sawa sawa mara nyingi huwa hivyoNa Mimi hao ni hivyohivyo,Sasa Binti yake alikuwa rafiki yangu akiulizwa we Kabila Gani akisema mnyakyusa naanza kucheka namwambia si useme ukweli,utasikia umeanza ujinga...Ila mama na nduguze wamedominate familia kinoma
Hahahahaha....Dada zenu wakiolewa makabila mengine wanadominate sana,eti wao wajukuu wa malafyale😅